Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Safi sana........ Tuko tayari na tumejifunza zaidi namna ya kuwazuia ntarahamwe wa ccm wasiharibu mikutano yetu km walivojaribu Hai kwa kamanda Mbowe lkn km walivoshindwa kwa kamanda Heche
 
Kama serikali itatangaza hatua za dharura dhidi ya ugonjwa wa Corona ikiwemo kuzuia mikusanyiko ya umati wa watu..nawasihi viongozi wa kisiasa kuacha mara moja mikutano hiyo.
 
Mbowe mjanja kweli, mwezi wa nne ukifika atawaambia ameahilisha mikutano hiyo kwa sababu wa Corona na wafuasi wake watamshangilia kwa vifijo na vigelegele. Ngoja na mimi nianzishe chama cha siasa, bado ni fursa.
 
Baki hapo
 
Na corona hii ndo itakua sababu msifanye mikutano maana jamaa hawakosi sababu hao mapolisi wanavyowatamani wanasubiri amri tu ya piga hao inabidi muangalie mikutano utasikia haitakiwi kuna korona ! Kwa sauti ya mambosasa
 
Kama ww ilivo kuinua ccm kwa kukulipa buku 7 zapropaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…