Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Safi sana........ Tuko tayari na tumejifunza zaidi namna ya kuwazuia ntarahamwe wa ccm wasiharibu mikutano yetu km walivojaribu Hai kwa kamanda Mbowe lkn km walivoshindwa kwa kamanda Heche
 
Kama serikali itatangaza hatua za dharura dhidi ya ugonjwa wa Corona ikiwemo kuzuia mikusanyiko ya umati wa watu..nawasihi viongozi wa kisiasa kuacha mara moja mikutano hiyo.
 
Mbowe mjanja kweli, mwezi wa nne ukifika atawaambia ameahilisha mikutano hiyo kwa sababu wa Corona na wafuasi wake watamshangilia kwa vifijo na vigelegele. Ngoja na mimi nianzishe chama cha siasa, bado ni fursa.
 
Hotuba imejaa majigambo, chuki binafsi kwa serikali, viashiria vya ukabila na uvunjifu wa amani. Hakuna mkakati mbadala wa kisera aliouzungumzia zaidi ya tambo za kufanya mikutano na kulalamika badala ya kujikita kwenye sera mbadala ambazo wapinzani wanaziamini.

Pia kadanganya kuhusu akina Halima. Kwa hotuba hii CCM ni chama pekee kinaendelea kubaki na mikakati mathubuti ya kuinua uchumi wa watanzania.
Baki hapo
 
Na corona hii ndo itakua sababu msifanye mikutano maana jamaa hawakosi sababu hao mapolisi wanavyowatamani wanasubiri amri tu ya piga hao inabidi muangalie mikutano utasikia haitakiwi kuna korona ! Kwa sauti ya mambosasa
 
Hotuba imejaa majigambo, chuki binafsi kwa serikali, viashiria vya ukabila na uvunjifu wa amani. Hakuna mkakati mbadala wa kisera aliouzungumzia zaidi ya tambo za kufanya mikutano na kulalamika badala ya kujikita kwenye sera mbadala ambazo wapinzani wanaziamini.

Pia kadanganya kuhusu akina Halima. Kwa hotuba hii CCM ni chama pekee kinaendelea kubaki na mikakati mathubuti ya kuinua uchumi wa watanzania.
Kama ww ilivo kuinua ccm kwa kukulipa buku 7 zapropaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom