Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hizi CV za viongozi wake waandamizi ambao wanawataja kuachia nafasi naona ni kama na yeye anataka kufuata njia zao

Itakuwa ni jambo jema na atakuwa ameshinda kwa kuchukua maamuzi hayo
 
Mbowe ni kama amei copy speech ya Lissu na kuifanyia modifications.
Anapoelekea ni dhahiri atatangaza kutogombea.
... ukiangalia body language, ... kuanzia mavazi, mood aliyoingia nayo na kauli zake za awali sana:
... MBOWE ANAGOMBEA!πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯⚑⚑πŸ’₯πŸ’₯
 
Hivi kumbe Mbowe ni mpinzani?

Nijuavyo mimi hakunaga mpinzani bongo, sasa huyo Mbowe kuwa ni kiongozi wa upinzani naona ni kama wabongo wote tunefanywa wajinga
Kwahiyo kupigwa risasi Lissu ilikua ni muvi?
Kama ilikua muvi,kwasisi tunayemuona ni kiongozi wa upinzani,mfano Lissu,naomba upewe scene hata moja,ucheze ya kupigwa risasi hata 3 tu,uone ilivyo ngumu kuigiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…