Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi pesaSema jamaa anaishi vizuri Sana , eneo kubwa Nyumba imetulia Sana
Mbowe hii siku hawezi kuisahau kwenye maisha yake..
Nilijua tu akili zakoAtagombea Hili lichaga n lilafi na libinafsi mno.
Umekula Sana miaka 20 inatosha waachie na wengine.
🤔🤔🤔
Sema jamaa anaishi vizuri Sana , eneo kubwa Nyumba imetulia Sana
Agombee tu ana haki hiyoLazima agombee tena
Hivi kumbe Mbowe ni mpinzani?Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Naungana na wewe maana mzunguko umekuwa mkubwa.Kwa hizi CV za viongozi wake waandamizi ambao wanawataja kuachia nafasi naona ni kama na yeye anataka kufuata njia zao
Itakuwa ni jambo jema na atakuwa ameshinda kwa kuchukua maamuzi hayo
SawaAgombee tu ana haki hiyo
... ukiangalia body language, ... kuanzia mavazi, mood aliyoingia nayo na kauli zake za awali sana:Mbowe ni kama amei copy speech ya Lissu na kuifanyia modifications.
Anapoelekea ni dhahiri atatangaza kutogombea.
Kwahiyo kupigwa risasi Lissu ilikua ni muvi?Hivi kumbe Mbowe ni mpinzani?
Nijuavyo mimi hakunaga mpinzani bongo, sasa huyo Mbowe kuwa ni kiongozi wa upinzani naona ni kama wabongo wote tunefanywa wajinga
Kama kuna TBC wanaratibu baaaasi atagombea. Dr.Slaa kasema ameagizwa na serekale abakie... ukiangalia body language, ... kuanzia mavazi, mood aliyoingia nayo na kauli zake za awali sana:
MBOWE ANAGOMBEA!💥💥💥⚡⚡💥💥