Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hizi CV za viongozi wake waandamizi ambao wanawataja kuachia nafasi naona ni kama na yeye anataka kufuata njia zao

Itakuwa ni jambo jema na atakuwa ameshinda kwa kuchukua maamuzi hayo
 
Mbowe hii siku hawezi kuisahau kwenye maisha yake..

Bila kuwasahau chawa wake:

GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg


Alfa na Omega si mheshimiwa Mungu?

Cc: imhotep
 
Hivi kumbe Mbowe ni mpinzani?

Nijuavyo mimi hakunaga mpinzani bongo, sasa huyo Mbowe kuwa ni kiongozi wa upinzani naona ni kama wabongo wote tunefanywa wajinga
Kwahiyo kupigwa risasi Lissu ilikua ni muvi?
Kama ilikua muvi,kwasisi tunayemuona ni kiongozi wa upinzani,mfano Lissu,naomba upewe scene hata moja,ucheze ya kupigwa risasi hata 3 tu,uone ilivyo ngumu kuigiza.
 
Back
Top Bottom