Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hotuba yake inayoendelea tuliosoma Cuba tumeshaelewa msimamo wake, hivyo angeacha kupotezea watu muda kwa kuwahubiria watu mambo wanayoyajua. He should be objective, precise and focused.
Anagombea.Maana anamuongelea Angela wa Ujerumani kuwa alikaa muda mrefu kwenye uongozi.Anasema hajazeeka na ana nguvu ya kufanya mikutano mingi tu.
 
Tulia dogo demokrasia ifanye kazi yake. Si watu wameruhusiwa kugombea? Akishindwa kwa kura ataachia chama, hofu ya nini?
 
Mwelekeo wa hotuba tayari tushaujua.

Jamaa anachukua fomu na anagombea.

Kwaheri CHADEMA.
 
Hili ni pepo mchafu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…