chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Mjinga weweTulia dogo demokrasia ifanye kazi yake. Si watu wameruhusiwa kugombea? Akishindwa kwa kura ataachia chama, hofu ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga weweTulia dogo demokrasia ifanye kazi yake. Si watu wameruhusiwa kugombea? Akishindwa kwa kura ataachia chama, hofu ya nini?
mbowe hawezi kuingia kwenye ligi hiyo halafu ashindweSi anagombea then ashindwe? au
Pole sana kwa kuchelewa kulijua hilo mkuu..Mtu asinambie kitu kinachoitwa siasa
Naenda ku activate kadi yangu ya CCM.Jamaa anagombea
Round hii kakutana na mpinzani mwenye nguvu.Pepo la kichaga limetung'ang'ania
Sure, hata ukirejea hotuba ya Joe Biden ya kutogombea na kumwachia Harrison Kamala haikuchukua hata dk 5.Wanaoachia ngazi huwa ni hotuba fupi sana. Sasa hapo tayari unajue uelekeo ukoje.
Ndio maana hataki kuachia kiti, Kiti kinampa mirija mingi sana.Sema jamaa anaishi vizuri Sana , eneo kubwa Nyumba imetulia Sana
Acha hasira daktari.Mtu asinambie kitu kinachoitwa siasa kuanzia kujiandikisha ,kupiga kura na mengineyo na hili jukwaa la siasa sitolitembelea tena .
Kweli kabisa mkuu. Tupo na akili zetu timamu hatuwezi kukubali huu ujingaDuh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Mbowe ana tamaa sana yule jamaa..
Hamna chama apo uyu mbowe ni qumaa tuuh
Duh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Nilisema hapa kwamba Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.Hata mimi aisee,ni bora niipigie kura CCM