Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwamba vuka na machawa wako. Tuna mambo mengi ya kufanya na siyo kupotezewa muda na MPUUZI MMOJA KAMA MBOWE. Wewe ni nani usiyetaka kuweka ubongo wako sawa? Mpuuzi mmoja wahed! Tusije kusikia kelele zako tena!
 
Mbowe ana tamaa sana yule jamaa..
Hamna chama apo uyu mbowe ni qumaa tuuh
Duh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Hata mimi aisee,ni bora niipigie kura CCM
Nilisema hapa kwamba Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
 
Back
Top Bottom