Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
AnagombeaHoye mpaka sasa katoa tamko gani
Same hereKuhusu mambo ya Chadema tusijuane tena. Nitarudi kama Lissu atashinda
Pepo la kichaga limetung'ang'aniaTangu mwanzo angetanguliza kusema anagombea wala nisingejisumbua kuchoma MB zangu kufika umbali huu.
Hata mimi aisee,ni bora niipigie kura CCMKuhusu mambo ya Chadema tusijuane tena. Nitarudi kama Lissu atashinda
Rekebisha hapo mkuu, kama hatoshinda.Kuhusu mambo ya Chadema tusijuane tena. Nitarudi kama Lissu atashinda
Bora hata CHAUMAHata mimi aisee,ni bora niipigie kura CCM
Chini ya uongozi wakeKumbe amekijenga yeye mwenyewe? Hatari sana hii, mkuu.
Umenifundisha kitu leo!Wanaoachia ngazi huwa ni hotuba fupi sana. Sasa hapo tayari unajue uelekeo ukoje.
Mbowe ana tamaa sana yule jamaa..Kuhusu mambo ya Chadema tusijuane tena. Nitarudi kama Lissu atashinda