Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
Umemsahau mbatia
 
××××
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea ama laa.

Endapo atatangaza kugombea atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,

Je, kama Taifa Tunatarajia nini kuelekea 2025.

Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,

View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F

Yaani unafikiri atatoa tamko kwàmba hagombei cheo chake?
Labda kama Chadema waamue kufuta cheo çha Mbowe cha uenyekiti.
 
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM

Pandikizi la Tiss ndo ateseke vile kwa kukaa magerezani na kuitwa Gaidi? Sema labda kuna negotiations anafanya na system mkono uende kinywani ila kuitumikia system bila makubaliano hawezi
 
Yule Mzee alikua na akili sana, ni mchezo wa Pesa na madaraka ila Mzee yule alikua na akili kubwa kuna watu hawawezi elewa
 
FAM ni zero shuleni, hakwenda kozi yoyote zaidi ya kuwa mlinzi pàle BoT.
 
Wale Polisi waliotumika kumuua Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Tiss General Imran Kombe unajua walikaa jela feki kwa muda wa miaka mingapi? Unajua wamelipwa fidia kiasi gani baada ya kutolewa huko jela feki ili kufidia muda wao?
 
Back
Top Bottom