Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 524
- 1,093
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Yaani nchi hii Ina machawa wengi sana