Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Haya "matusi" yenu, ndiyo yatakayomfanya agombee tena!Hagombei ikiwa ana mapenzi mema na nchi lkn ikiwa analinda heshima na tumbo atagombea.
Tunasubiria kuona alivyo mlafi au alivyo mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya "matusi" yenu, ndiyo yatakayomfanya agombee tena!Hagombei ikiwa ana mapenzi mema na nchi lkn ikiwa analinda heshima na tumbo atagombea.
Tunasubiria kuona alivyo mlafi au alivyo mzalendo
Mbowe TeethLeo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
Utaenda wapi sasa, mkuu. Labda ujiunge na chama tawala? Naona mnavyoenda kupoteana mazima hadi 2035!Mbowe akigombea rasmi naachana na Chadema
Umechukua mkeka wenye odds ya 1.02 mkuu. Lazima utiki huo😂😂😂😂 wang'ang'ania madaraka Afrika hii ni wengi sanaaa🤣🤣🤣Atagombea, Leo nafanya rehearsal ya betting.
Kama matusi yatamyumbisha msimamo basi hafai uongoziHaya "matusi" yenu, ndiyo yatakayomfanya agombee tena!
Utaenda wapi sasa, mkuu. Labda ujiunge na chama tawala? Naona mnavyoenda kupoteana mazima hadi 2035!
Chama tawala siwezi ntakaa bila chama mkuuUtaenda wapi sasa, mkuu. Labda ujiunge na chama tawala? Naona mnavyoenda kupoteana mazima hadi 2035!
Atagombea.Jamaa anasubili nini kutoa msimamo wake mpaka sasa hivi duh masaa yanazidi kwenda tu.
Weraweraaaaaasaasa 🤣🤣🤣😀🤣Leo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
Amekuambia?Lazima agombee tena