Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shida yake uwa aongei on time, anadhani watu wote duniani tuna muda wakumsubiri yeye hatuna shughuli nyingine.

Yaani ahadi saa tano, inakwenda saa sita na nusu, utadhani anatulipia bando; hovyo kweli.
Hiyo ndio tabia ya cdm siku zote na Mbowe kwa ujumla, Lisu pekee ndio huwa anajali muda. Tunaposema Mbowe ni muda wa kuachia nafasi ya uenyekiti ni sasa, ni pamoja na yeye kutoheshimu muda.
 
Back
Top Bottom