Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hiyo ndio tabia ya cdm siku zote na Mbowe kwa ujumla, Lisu pekee ndio huwa anajali muda. Tunaposema Mbowe ni muda wa kuachia nafasi ya uenyekiti ni sasa, ni pamoja na yeye kutoheshimu muda.Shida yake uwa aongei on time, anadhani watu wote duniani tuna muda wakumsubiri yeye hatuna shughuli nyingine.
Yaani ahadi saa tano, inakwenda saa sita na nusu, utadhani anatulipia bando; hovyo kweli.