Kugombea kwa kura ni kujidhalilisha?πππKwa hili Mbowe amejidhalilisha sn sn
Katumia muda mwingi to define the word Reconciliation but the target was not to step down from the office this is Africa Mbowe like Mugabe,Mseveni etcSasa hivi naamini hivyo, sababu TBC hawawezi kwenda pale hivihivi tu.
Uungane na mama anakujua π,njoo tulime hukutuanzishe chama, si bora tungaungane na mama tuendelee kutawala mpaka kiama? Acheni kudanganya wananchi mna demokrasia
na ule utashi wa kuisema ccm ndiyo tayari umezikwa rasmi leo.Kwenye miaka hii ya siasa za demokrasia kuacha chama kitawaliwe na mtu mmoja miaka 20 ni kukubali wenyewe kulea udikteta.
Na ukilea dikteta tarajia maumivu.
CHADEMA haitakufaSasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
Wanufaika wa hela za Abdul mnajionyesha wazi wazi.Kwenda zako hukooo
Muongo wewe
Yani Mbowe kutangaza kugombea ndo chama kiwe cha familia?wale waliokuwa wakisema chadema ni mali ya familia naona wanaanza kueleweka taratibu.
Ilo ndo tatizoHawezi kuacha kugombea. Kumbuka zile faida 10 za kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani zilizotajwa na britanicca . Unadhani yuko tayari kuziachia??
Hii si ndio Golden chance ya kumuondowa Mbowe kupitia danduku la kura? Au mimi ndio sielewi?Kuanzia leo nasitisha uanachama wangu Chadema hadi siku Lissu akitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema. Naijutia michango yangu ya hali na mali niliyotoa kwa chama hiki.
Silifukii mkuu, wajumbe ndo wanategemewa mpaka sasa .Uje ulifukie sasa
Akaanzishe nini? Kapigeni kura nyie,mmepewa uhuru mkapige kura hamtakiWanaoimiliki CDM wanamuamini Mbowe zaidi na si vinginevyo.
Elites walio behind the scene ambao ndio wamiliki wa CDM Kwa bahati mbaya malengo yao sio kama mnavyoiona CDM msioijua.
Nilishatoa angalizo, Lissu kama Yuko serious kweli akaanzishe chama ahame na wafuasi wake wakafanye siasa huko.
CDM Ina malengo mengine kabisa nje ya hizi siasa za kuchukua dola.
Hata Leo hii Lissu akiwa mwenyekiti, bado malengo ya CDM yapo palepale, either atakuwa compromised au atafiksiwa kivingine.
Bahati mbaya sana Tanzania ni nchi ya sintofahamu na behind the scenes nyingi sana, wananchi Kwa zaidi ya 70% wapo manipulated.
Siku wengi wenu mkipata akili ndio mtanielewa.
Kwani Mbowe ni baba au mama yako umng'ang'anie? Watu wanaacha dini za wazazi wao sembuse chama? Ukweli Mbowe kama mwenyekiti amejitoa kwa muda wake, jasho, damu na hata rasilimali zake. Lakini hiyo haimpi uhalali wa kumiliki chama kuwa chake. Kwa kuinvest kwake ni ngumu sana kuja kuachia madaraka na hiyo ndio usaliti wa Mbowe tumepigwa 90% serikali za mitaa tutapigwa uchaguzi mkuu 2025 trust me Kama Mbowe ni mwenyekitiUKISIKIA MTU KWAMBA ANAACHA UANACHAMA KISA MBOWE KATANGAZA KUGOMBEA JUA HUYU NI TAPELI KAMA TAPELI WENGINE ,MBOWE KATIMIZA WAJIBU WAKE ,ANAFIKILI BADO ANAFAA. HII SIO SHIDA.
NI MDA WA WAJUMBE KUAMUA MBIVU NA MBICHI KATIKA UCHAGUZI ULIO HURU ,TUME HURU ,HAKUNA CHA DANADANA , KAMPENI ZA KUNADI KILA MGOMBEA AMPENDAE KASI IONGEZEKE SASA BADALA YA KUKIMBIA VITA
Wanachama uchwara hao hawajielewi,achana naoHii si ndio Golden chance ya kumuondowa Mbowe kupitia danduku la kura? Au mimi ndio sielewi?
Kama Mbowe yuko powerful hivi maana yake huyo ndio mtu sahihi, wakutane kwenye box namba zitaongea, hiyo ndio Demokrasia sasa, ccm mwenyekiti inatoka fomu moja tu na mapovu hayawatoki, sasa Chadema mmepewa fursa mumchaguwe mnayetaka mnaweweseka, binafsi siwaelewi.
Wanaelewa vizuri, namba hazidanganyi, Mbowe ameshawapiga KO kabla ya uchaguzi, Mbowe amuandae John Heche kuwa mrithi wake.Acheni mtu Agombee,kura zikaamue
Kwa nini mnaogopa kura
Kapige kura sasaKwani Mbowe ni baba au mama yako umng'ang'anie? Watu wanaacha dini za wazazi wao sembuse chama? Ukweli Mbowe kama mwenyekiti amejitoa kwa muda wake, jasho, damu na hata rasilimali zake. Lakini hiyo haimpi uhalali wa kumiliki chama kuwa chake. Kwa kuinvest kwake ni ngumu sana kuja kuachia madaraka na hiyo ndio usaliti wa Mbowe tumepigwa 90% serikali za mitaa tutapigwa uchaguzi mkuu 2025 trust me Kama Mbowe ni mwenyekiti