SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Jambo usilolifahamu ni sawa na usiku wa kiza kinene.Sasa kama ulikuwa CDM ndio kusema unaogopa uchaguzi au? Hiki ni chama Cha kidemokrasia. Siyo cha kutoa fomu moja. Fomu zimetolewa nyingi na wewe chukua ugombee. Huku CDM nakuna umwinyi wa kutoa fomu moja
Ndo ninachokitaka namimi hicho. Nashangaa hawa wahubiri wa demokrasia hawataki wenzao washiriki chaguzi. Mi naona ni wakati sahihi wa Lissu kumshinda Mbowe kwenye boksi la Kura!!Ili Kukata mzizi wa fitina kura zihesabiwe hadharani na kila mgombea apewe kura zake ahesabi mwenyewe.
Kukomesha fitina dawa ni hiyo tu.
Hivi wewe unaelewa kiswahili kweli? Lisu amejiunga na Chadema gari likiwa limeshawaka ndio sababu kuu ya yeye kuondoka Nccr Mageuzi kujiunga Chadema ili kuongeza nguvu na akagombea Ubunge kwao akashinda.Wakati Chacha Wangwe anataka kugombea uenyekiti.Lissu hakuwa Chadema? ILIKUWA MWAKA 2008.Ninakumbuka Lissu alimlalamikia sana Chacha Wangwe hadi kusema kamsaidia case nyingi mno.I wish niupate ule uzi niuperuzi.Lissu alikuwa upande wa Mbowe .
Bila kupingwa wakati wote wamechukua fomu?😀Kura mbowe atapita bila kupingwa! Jamaa anasepa
Hilo ndio nenoBox litaamua, wapiga kura 1500 wataamua ni nani atakuwa mwenyekiti mpya wa CDM.
Angalizo atakayeshindwa kati ya hao wawili asikimbie chama bali abaki kukijenga.
Salaam mpya ya wana CDM kuanzia sasa iwe....Sawa Sawa
Tutakutana Tu Kwa BOX
Wapi nimeongopa? Lisu alikuwepo Chadema wakati wa Chacha Wangwe? Sina memory tu exactly alijiunga lini lakini hoja wakati wa Chacha Wangwe Lisu hakuwa Chadema, hii ndio hoja.Toa uwongo wako hapa Lissu kajiunga Chadema 2004 ni zaidi ya miaka 20 iliyopita.
TAL amekimbia!Bila kupingwa wakati wote wamechukua fomu?😀
Wajumbe wananunuliwa kwa pesa au kwa ahadi za kupewa nafasi za kugombea ubunge mwakani au nafasi za viti/uCha msingi wajumbe wajipange na kumpigia kura anayefaa ,binafsi sioni shida hapa ,ni haki yake kwa mjibu wa katiba sass shida iko wapi
Wengi wa watu ni kukurupuka tu.Lissu alijunga na Chadema kutoka NCCR mageuzi mwaka 2004.Miaka 20 iliyopita.Huyo amekuja na stori za kahawa.Toa uwongo wako hapa Lissu kajiunga Chadema 2004 ni zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Sasa chama kimepasuka sana, tundu Lissu keshashindwa tayari, sasa imebaki kuçhafuana na kukashfiàna.Bado tuna nafasi ya kwenye sanduku la kura,TLS akishindwa namshauri aanzishe chama kingine cha Siasa,surely I'm telling you hicho ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania!
Mbowe ni tumaini laoKuna shamrashamra kubwa ndani CCM