Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo tayari tushajua kugombea kwake ni maelekezo. Tukishindwa kwenye kura tutamuachia chama chake
siasa kazi ngumu kweli-kweli. maana hata lissu interview ya juzi ya clouds kile kipindi cha asubuhi cha kina kipanya aliwatupia dongo kua clouds huwa wanawakwepa kwepa ila akashkru ujio wao siku ile. acha tuendelee kucheki hii mbungi
 
Kwahiyo kupigwa risasi Lissu ilikua ni muvi?
Kama ilikua muvi,kwasisi tunayemuona ni kiongozi wa upinzani,mfano Lissu,naomba upewe scene hata moja,ucheze ya kupigwa risasi hata 3 tu,uone ilivyo ngumu kuigiza.
Lissu angepigwa risasi angekuwa keshakufa kitambo na wale waliompiga wangekuwa unknown killers.
Habari iliyopo ni Bashite ndiye alimtwanga risasi Lissu, Bashite huyo huyo ni nyoka wa mjwere...

Bahati mbaya kwako hujui kuwa Lissu na Mbowe wote ni mapandikizi ya mkwere.

Ninapokuambia kuwa hakuna upinzani bongo jiongeze kuelewa.
 
Uthibitisho?
 
Back
Top Bottom