Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahahahaha ila huyu jamaa hana aibu

Anadai anataka kugombea tena hii itakuwa awamu ya mwisho kwake ili awe amestaafu akiwa na umri sawa na watangulizi wake.

Anataka astaafu akiwa na miaka 68.

Haki ya Mungu hii imenichekesha sana kama ndio factor yake.
 
Atagombea Hili lichaga n lilafi na libinafsi mno.
Umekula Sana miaka 20 inatosha waachie na wengine.
Mbona TANU NA MPAKA 1977 CCM REBIRTH..TUNA MIAKA 60'S TUPO PALE PALE KWENYE MAADUI WA TAIFA AMBAO TUMEAMINISHWA UJINGA, UMASKINI NA MARADHI.

Why mbowe kwa Sasa na sio serikali ya CCM
 
Unadhani Bw. Scars

Sikuwa na chama muda mrefu isipokuwa nilikuwa nashawishiwa niingie CCM ila nikawa nakataa!

Kwa hii hali naenda ku activate usability naenda kuchukua kadi ya CCM.
Kinachofanyika hapa Chadema ni kichekesho sana.

Kwanza Mwenyekiti anatoa leo majibu kwa kuonesha ni maamuzi mepesi wakati juzi alishindwa kutoa msimamo wake.

Hiyo inaonesha kwamba kuna watu wame backup kumpa encourage agombee kwa maslahi yake na ndio maana unaona ameambatana nao.
 
Duh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Brother!

Sikuwa na chama ila nilikuwa nahisi pengine upinzani unaweza kuweka mambo sawa hapa nchini, kumbe nilikuwa sipo sahihi!

Kwa hali hiyo, naenda kuendelea na usajili wa CCM.

Kuna Mzee mmoja rafiki wa baba yangu yupo huko Nec sijui wenyewe wanaitaje hao CCM huwa ananiambia nijiunge nichukue kadi.

Sasa naenda kuchukua kadi ya CCM.
 
Hata mimi aisee,ni bora niipigie kura CCM
Bora hata
Mtu asinambie kitu kinachoitwa siasa kuanzia kujiandikisha ,kupiga kura na mengineyo na hili jukwaa la siasa sitolitembelea tena .
Mbowe amewavunja moyo watu wengi sana.
Anatetea saccos yake.
Tulimpuuza Msigwa lkn sasa tutamwelewa
 
Back
Top Bottom