Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Mkuu pole.
Umechelewa sana kugundua tamaa za Mwenyekiti.
Kumbuka mjadala wetu miaka ile.
Msingemchekea wakati ule nadhani leo msingeteseka.
Hakuna kitu kigumu kwenye siasa kama kumbandua dikteta madarakani.
 
Kama Katiba Ya CHADEMA inampa Haki Ya Kugombea, Kuzodoa maamuzi yake ni kwenda kinyume na demokrasia

Kwa Mujibu Wa Katiba Ya CHADEMA Mbowe ana haki ya Kugombea sawa na wanachama wengine wanaotaka kugombea.

Humtaki Mbowe Usimpigie Kura.

Kidumu Cha Cha Mapinduzi,

Kidumu Chama Tawala.
 
Nilisema hapa kwamba Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
Nimevunjika moyo sana
 
Mkuu pole.
Umechelewa sana kugundua tamaa za Mwenyekiti.
Kumbuka mjadala wetu miaka ile.
Msingemchekea wakati ule nadhani leo msingeteseka.
Hakuna kitu kigumu kwenye siasa kama kumbandua dikteta madarakani.
Nimeamini watu wepesi sana , ndo maana huwa wanajinyonga, sasa kura kupigwa bado eti unakimbia chama , huo ni upumbavu , we unafikili wajumbe hawajui cha kufanya?
 
Mama samia ajiandae tu kupata ushindi mnono, ushindi wa kura za wanachama wake, japo ni wachache wanatosha kumpa ushindi. Hatahitaji kufanya kampeni kubwa kuzunguka nchi nzima. Hawa kina mbowe na lipumba hakuna atakayekwenda kuwapigia kura watapigiwa na nyumbu zao. Hakuna upinzani Tanzania, mama asihangaike kutumia mabilioni mengi kwenye kampeni kama anaogombea nao ni kina lipumba na mbowe
 
Round hii kakutana na mpinzani mwenye nguvu.

Mbowe akishinda itakuwa rahisi watu kuamini kuwa ameiba kura na wanaweza kujikuta wanapoteza uaminifu kwa wananchi hata kuikemea CCM kwenye wizi wao wa kura.
Una uhakika wajumbe wapiga-kura wako upande gani? Usikute mpaka hapo ana uhakika wa kushinda kwa 99%!
 
Angalieni maswali ya msingi anayoulizwa hapa Mbowe.

Mwandishi anadai siku moja kabla ya hotuba ya Mbowe aliikuta ripoti ya Mbowe kwenye meza ya mwanachama wa CCM na akafanikiwa kuipiga picha.

Kweli siku iliyofuata Mbowe alitoa speech ile ile sawasawa na ile documents ambayo mwandishi aliipiga picha.

Hiyo ndio inatupa majibu kuwa kuna watu wapo kwenye pay roll ya CCM.
 
Asante Mungu kwa kusaidia Mhe. Mbowe Freeman awe mwenyekiti wetu kwa mara nyingine. Nilikuwa na wasiwasi kama angekataa kugombea upinzani ungekufa kabisa.
I can't imagine siasa ya Tanzania bila mhe Mbowe. Ananifurahisha anavyoninyooshea chama Cha mbogamboga
 
Back
Top Bottom