Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Makonda alisingiziwa mengi sana ila kwa msimamo wa Mbowe Makonda tembea kifua mbele Mungu akulinde sintofahamu ni kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kurudi kwa Mungu🤣Bora kurudi katika chama cha Asili
Mkuu pole.Duh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Huyu hashindwi kuua mtuMakonda alisingiziwa mengi sana ila kwa msimamo wa Mbowe Makonda tembea kifua mbele Mungu akulinde sintofahamu ni kubwa.
Hii ndio Politics, Polishit, Polifix, Policheat and PolipigsHuko ni kuokoteza hoja ili kukidhi matakwa ya mabwana zake
Tujipe pole tuliomwamini:Duh I'm officially done with CHADEMA. Huyu mbowe mpaka siku atoke ndio nitarudi kujihusisha na hiki chama.
Nimevunjika moyo sanaNilisema hapa kwamba Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
Nimeamini watu wepesi sana , ndo maana huwa wanajinyonga, sasa kura kupigwa bado eti unakimbia chama , huo ni upumbavu , we unafikili wajumbe hawajui cha kufanya?Mkuu pole.
Umechelewa sana kugundua tamaa za Mwenyekiti.
Kumbuka mjadala wetu miaka ile.
Msingemchekea wakati ule nadhani leo msingeteseka.
Hakuna kitu kigumu kwenye siasa kama kumbandua dikteta madarakani.
Una uhakika wajumbe wapiga-kura wako upande gani? Usikute mpaka hapo ana uhakika wa kushinda kwa 99%!Round hii kakutana na mpinzani mwenye nguvu.
Mbowe akishinda itakuwa rahisi watu kuamini kuwa ameiba kura na wanaweza kujikuta wanapoteza uaminifu kwa wananchi hata kuikemea CCM kwenye wizi wao wa kura.
Tiss ndiyo inataka hivyo.Nimevunjika moyo sana