Watapasafisha na kuacha wazi milango na madirisha ili kuthibitisha si kweli.
 
Kila siku nasema humu, bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi huu unyama utaendelea kuwepo. Lamadi wameonyesha mfano.
 
Samia amaemua kutumia mbinu za Magufuli kusalia madarakani. Waliokuwa wanafaidika ni utawala wa mabavu wa Magufuli ndio hao sasa wanamshauri ili kiti chake kibaki salama, lazima apoteze watu ili kujenga uoga kwenye jamii.
 
Yaani unamuomba mwizi aache kuiba baadala ya kumkamata na kumchukulia hatua, unamuomba mwizi akusaidie kukamata mwizi?.

Tunapaswa kuwa na suluhu ya haya yanayoendelea baadala ya kulalamika na kulialia tu.
 
Kikosi cha mama ? ChoiceVariable
 
Si mlituambia aliyekuwa anateka watu ni Magufuli?

Tukueleweje wewe Dj gaidi Mbowe?
 
Samia amaemua kutumia mbinu za Magufuli kusalia madarakani. Waliokuwa wanafaidika ni utawala wa mabavu wa Magufuli ndio hao sasa wanamshauri ili kiti chake kibaki salama, lazima apoteze watu ili kujenga uoga kwenye jamii.
Kila auaye kwa upanga nae atakufa kwa panga.
 
Si mlituambia aliyekuwa anateka watu ni Magufuli?

Tukueleweje wewe Dj gaidi Mbowe?

..wanaoteka ni watumishi wa majeshi ya ulinzi na usalama.

..Magufuli alikuwa Amiri jeshi Mkuu wao ndio maana alikuwa akilaumiwa.

..Sasa hivi Samia Suluhu ndiye Amiri jeshi Mkuu hivyo kama utekaji unaendelea yeye pia anastahili lawama.
 
Doh! Bado watu wanayatimba tu. Walisemaga mwendazake na sasa hayupo sijui watamsingizia nani tena.
 
Doh! Bado watu wanayatimba tu. Walisemaga mwendazake na sasa hayupo sijui watamsingizia nani tena.
Kwani alikuwa anasingiziwa? Au yeye alikuwa na hati miliki ya kuteka, hivyo kwakuwa hayupo wengine hawawezi kuteka? Kwa taarifa yako hii tabia iliota mizizi wakati wa Magufuli, na sasa ni muendelezo tu wa alichokuwa anatenda.
 
Doh! Bado watu wanayatimba tu. Walisemaga mwendazake na sasa hayupo sijui watamsingizia nani tena.

..Mwendazake alikuwa analaumiwa kwasababu ya nafasi yake kama Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

..Kama vikosi vya usalama vinafanya mambo mazuri Amiri Jeshi Mkuu hupongezwa.

..Vyombo vya usalama vikifanya mambo ya hovyo, ikiwemo mauaji, Amiri Jeshi Mkuu hubeba lawama.
 
Twendeni na kanuni ya jino kwa jino tu . Wakiua mmoja wao wanapoteza kumi.
 
Chadema ni Mpango wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…