Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Ndio maana polisi wengi wasio na maadili wakistaafu wanapata tabu Sana.Kuna watu wana dhambi aisee unaua mtu kama kuku.
Hapo utakuta keshapewa kikokotoo milioni 35, kisukari chake, presha yake, migogoro ya kufamilia na kutengwa na jamii.