Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na kutakiwa kuripoti kwenye vituo tofauti vya Polisi.
Amesema hakuna Kiongozi wa Chama hicho atakayerudi Polisi kwa ajili ya kuripoti kuhusu mashtaka hiyo.
Amesema "Polisi wametutaka kwenda kuripoti kwenye Vituo vyao kwa nyakati tofauti. Hili nilizungumze kwa falsafa rahisi sana ya Thomas Orbs, kitu kinachoitwa Civil Disobedience, hatutaki kwenda kwenye civil disobedience ila hatutaki kuwa makondoo. Viongozi wetu wote ambao wamefunguliwa mashtaka hewa haya hatutarudi kuripoti Polisi kwenda kuripoti jambo hili."
Ameongeza "Wakitaka kuchukua hatua, wachukue hatua wanayotaka. Sisi tunasema hatutakwenda Polisi kufuata mashtaka ya uongo, ya kughushi, ya kudhalilisha. "
PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafugua keshi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA