Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alhaj Awadh HajAcha kupayuka na mambo yako ya udini hapa. Dini ya zitto wewe inakuhusu nn
Lipumba alishawahi kuvunjwa mkono alikuwa mkiristo?Wadini ni hao waliowapiga hao viongozi Wakristu
HainihusuLipumba alishawahi kuvunjwa mkono alikuwa mkiristo?
Na kweli kwani kuna wahafidhina ndani ya CCM ambao wanaipinga falsafa ya Samia ya 4Rs hivyo wamelitumia jeshi la polisi kuisambaratisha na katika hilo wamefanikiwa na wamepita lengo kwani hata taswira ya Rais na serikali yake imechafuliwa kiasi cha kutosha sana. Vyombo vyote vikubwa habari duniani vimeripoti unyama huo. Hongera sana IGP mtarajiwa Awadh kwa mafanikio haya.Hata wasiporipoti, lengo la polisi limeshatimia
Hii inathibitisha hoja kuwa CHADEMA ni kikundi chenye mlengo wa Kikristu!Viongozi wa CHADEMA walipigwa lwa sababu ni wa Wakristu. Wangekuwa Waislam kama Zito wasingepigwa
Na ccm ni kikundi cha mrengo wa kiislam. Ngoma draw.Hii inathibitisha hoja kuwa CHADEMA ni kikundi chenye mlengo wa Kikristu!
Mimi si mwanachama wa hivyo vyama vyenu lkn ni muumini wa UTU. Kwa sababu hiyo,kutokana na zile risasi 16 alizopigwa LISU na kushangiliwa na wanaoonekana kwa asilimia kubwa ni wana CCM na kwa kuzingatia kuwa hili tukio lina viashiria vya ya kwamba director alikuwa namba moja basi nami SIKUHUZUNIKA NA KWENDA KWAKE KWENYE MAJUKUMU YAKE MAPYA YA KUWAONGOZA MALAIKA.Kwa kipigo alichopewa Sugu lazima kuna laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ndani yake
Ungekuwa unajua kuwa haya mavi aliyokunya Afande Awadh harufu yake imeleta athari gani usingesema hivyo.Mtashurutishwa msipotii Sheria
Hivi form four failures wanawezaje kusimamia sheria zilizotungwa na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya sheria?Kazi ya polisi ni kusimamia SHERIA....
Je ni hiyari kutii/kutotii wito wa polisi ?!!
Jibu : Si hiyari
Kukaidi WITO wa polisi ndio UVUNJIFU WENYEWE WA HIYO SHERIA.....
Kwanini wasiripoti polisi wakiwa na wanasheria wao ?!!! [emoji44][emoji44]
Komredi Mbowe haeleweki
Hueleweki kamarada [emoji1787][emoji1787]
Zito si kiongozi wa Upinzani - ulisikia popote Zitto kabebwa walau hata tanganyika jeki tangu aanze siasa miaka ya 1990.Viongozi wa CHADEMA walipigwa lwa sababu ni wa Wakristu. Wangekuwa Waislam kama Zito wasingepigwa
Msigwa na wewe mmeridhika kwa vipigo vya uonevu kwa Sugu hongera.Kwa kipigo alichopewa Sugu lazima kuna laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ndani yake
Mapanga Shaa zamani zilikuwa ni picha zinazoburudisha sana kwasasa watu wengi wanaumudu sana mchezo huoMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na kutakiwa kuripoti kwenye vituo tofauti vya Polisi.
Amesema hakuna Kiongozi wa Chama hicho atakayerudi Polisi kwa ajili ya kuripoti kuhusu mashtaka hiyo.
Amesema "Polisi wametutaka kwenda kuripoti kwenye Vituo vyao kwa nyakati tofauti. Hili nilizungumze kwa falsafa rahisi sana ya Thomas Orbs, kitu kinachoitwa Civil Disobedience, hatutaki kwenda kwenye civil disobedience ila hatutaki kuwa makondoo. Viongozi wetu wote ambao wamefunguliwa mashtaka hewa haya hatutarudi kuripoti Polisi kwenda kuripoti jambo hili."
Ameongeza "Wakitaka kuchukua hatua, wachukue hatua wanayotaka. Sisi tunasema hatutakwenda Polisi kufuata mashtaka ya uongo, ya kughushi, ya kudhalilisha. "
PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafugua keshi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
Sheria ya kulinda CCM tu na kuivuruga CHADEMA kila wakati hiyo ni batili.Kazi ya polisi ni kusimamia SHERIA....
Je ni hiyari kutii/kutotii wito wa polisi ?!!
Jibu : Si hiyari
Kukaidi WITO wa polisi ndio UVUNJIFU WENYEWE WA HIYO SHERIA.....
Kwanini wasiripoti polisi wakiwa na wanasheria wao ?!!! [emoji44][emoji44]
Komredi Mbowe haeleweki
Hueleweki kamarada [emoji1787][emoji1787]
Hakika umenena vema,halafu wanakuja na kauli za MSIBA HAUZOELEKI,SI VIZURI KUFURAHIA KIFO CHA MWENZIO AU RAIS WAKO,wakati wanapokamata watu kwa makosa ya uongo na kuwatembezea vichapo wao huwa hawasikitiki wala huwa haumii,ila ikifika kwao wanaanza kutafuta huruma za wale wale wanaowatesa kila siku.Hii inchi watu wanazidi kuigawa vipande vipande Sana,ndiyo maana watu hufurahia vifo vya Viongozi wao, mfano kifo cha Magufuri. Utasikitika vipi akifa kiongozi anayetuma polisi wakawapige Viongozi wako?
Mwasisi wa yote haya ni Magufuri.Huyo ndo aliyeasisi ushetani huu wote hapa nchini. Hakuna cha kumbukumbu hapo.
Mtashurutishwa msipotii Sheria