Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaripoti Polisi. Hakuna Kiongozi wetu atarudi kwa mashtaka hewa haya!

Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaripoti Polisi. Hakuna Kiongozi wetu atarudi kwa mashtaka hewa haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe hata utape tape, tumeshaamua kura za waislamu ni kwa muislam mwenzetu, na nyie makafiri mpeni kafiri mwenzenu,
Halafu tuone nani anashinda
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na kutakiwa kuripoti kwenye vituo tofauti vya Polisi.

Amesema hakuna Kiongozi wa Chama hicho atakayerudi Polisi kwa ajili ya kuripoti kuhusu mashtaka hiyo.

Amesema "Polisi wametutaka kwenda kuripoti kwenye Vituo vyao kwa nyakati tofauti. Hili nilizungumze kwa falsafa rahisi sana ya Thomas Orbs, kitu kinachoitwa Civil Disobedience, hatutaki kwenda kwenye civil disobedience ila hatutaki kuwa makondoo. Viongozi wetu wote ambao wamefunguliwa mashtaka hewa haya hatutarudi kuripoti Polisi kwenda kuripoti jambo hili."

Ameongeza "Wakitaka kuchukua hatua, wachukue hatua wanayotaka. Sisi tunasema hatutakwenda Polisi kufuata mashtaka ya uongo, ya kughushi, ya kudhalilisha. "

PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafugua keshi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
Aliyewatuma Polisi wetu wakatekeleze ule ukatili atalaniwa sana
 
Typical african thinking
Hii inaonyesha udhaifu wenu na dini yenu ya mchongo, kama kweli ni uadilifu angalau ungetangulia kumwambia yeye aliyeanza kuleta fikra za udini,
Mimi nimejibu tu na kuendeleza pale alipoanzia kinyungu
Oooh sorry kumbe nyie wenzetu ni wazungu
 
Waliwaachia kwanini kama walikuwa bado wanawahitaji? Au wanataka wa report polisi kufanya nini?
 
Hao kila siku wana lia lia tu.

Anyways wamechagua siasa hivyo kilichotokea ni " a bad day in office " not a big deal.

Ni sawa na mkulima mazao yake kuliwa na mifugo.
 
Hao kila siku wana lia lia tu.

Anyways wamechagua siasa hivyo kilichotokea ni " a bad day in office " not a big deal.

Ni sawa na mkulima mazao yake kuliwa na mifugo.
Not a big deal? Kuwa serious man. Yaan mamlaka husika ivunje taratibu, watu waumizwe halaf wapotezee is not a big deal?

Ingetokea kwako ungepotezea kirahisi?
 
Na kweli kwani kuna wahafidhina ndani ya CCM ambao wanaipinga falsafa ya Samia ya 4Rs hivyo wamelitumia jeshi la polisi kuisambaratisha na katika hilo wamefanikiwa na wamepita lengo kwani hata taswira ya Rais na serikali yake imechafuliwa kiasi cha kutosha sana. Vyombo vyote vikubwa habari duniani vimeripoti unyama huo. Hongera sana IGP mtarajiwa Awadh kwa mafanikio haya.
Asitarajie kuwa IGP for that, amejiwekea doa
 
Wewe hata utape tape, tumeshaamua kura za waislamu ni kwa muislam mwenzetu, na nyie makafiri mpeni kafiri mwenzenu,
Halafu tuone nani anashinda
Hili suala halihusiani na udini zaidi ni linahusiana na siasa na uchaguzi unaokuja. So kabla hujaongea maji taka, pls fikiri kwanza, huandikii watoto au watu wa vijiweni humi
 
Not a big deal? Kuwa serious man. Yaan mamlaka husika ivunje taratibu, watu waumizwe halaf wapotezee is not a big deal?

Ingetokea kwako ungepotezea kirahisi?
Ielewe kwanza comment yangu.
 
Hili suala halihusiani na udini zaidi ni linahusiana na siasa na uchaguzi unaokuja. So kabla hujaongea maji taka, pls fikiri kwanza, huandikii watoto au watu wa vijiweni humi
Sahihi kabisa, hata mimi kwenye post nyingine nimesema hivyo, ila alieanzisha huu udini humu ni mwenzio kinyungu, ni afadhali ungeanza nae au hata na yeye ungempa mawazo haya, twende sawa, vinginevyo usiite mawazo yangu maji taka kwani pia naweza kuita yako maji taka
 
Kumbe Awadhi anatembeza rungu vile au zamani alikua kikosi cha bendi
Alipokuwa RTO OYSTER BAY alikamata Coster yangu pale American Chips yaliyofuata nikiandika hapa Mello ataitwa polisi aseme mimi ni nani.
 
Back
Top Bottom