pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ila kiukweli Jeshi la polisi limejidhihirisha wazi na pasipo shaka kuwa sio jeshi la kutulinda wananchi bali kuwalinda CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ndiyo huo.Ila kiukweli Jeshi la polisi limejidhihirisha wazi na pasipo shaka kuwa sio jeshi la kutulinda wananchi bali kuwalinda CCM
Siasa zina hekaheka dahh!!
Kyuma wa myamya wakoHata wasiporipoti, lengo la polisi limeshatimia
Ule mzoga ulisahiri kuondoka mkuu .Hata wewe najua ulifurahia .Kwa kipigo alichopewa Sugu lazima kuna laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ndani yake