Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaripoti Polisi. Hakuna Kiongozi wetu atarudi kwa mashtaka hewa haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata wasiporipoti, lengo la polisi limeshatimia
Na kweli kwani kuna wahafidhina ndani ya CCM ambao wanaipinga falsafa ya Samia ya 4Rs hivyo wamelitumia jeshi la polisi kuisambaratisha na katika hilo wamefanikiwa na wamepita lengo kwani hata taswira ya Rais na serikali yake imechafuliwa kiasi cha kutosha sana. Vyombo vyote vikubwa habari duniani vimeripoti unyama huo. Hongera sana IGP mtarajiwa Awadh kwa mafanikio haya.
 
Kwa kipigo alichopewa Sugu lazima kuna laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ndani yake
Mimi si mwanachama wa hivyo vyama vyenu lkn ni muumini wa UTU. Kwa sababu hiyo,kutokana na zile risasi 16 alizopigwa LISU na kushangiliwa na wanaoonekana kwa asilimia kubwa ni wana CCM na kwa kuzingatia kuwa hili tukio lina viashiria vya ya kwamba director alikuwa namba moja basi nami SIKUHUZUNIKA NA KWENDA KWAKE KWENYE MAJUKUMU YAKE MAPYA YA KUWAONGOZA MALAIKA.
 
Hivi form four failures wanawezaje kusimamia sheria zilizotungwa na watu wenye uelewa mpana wa mambo ya sheria?

Hii inafikirisha sana na ndiyo maana unakuta polisi wanavunja sheria sio kwamba ni kosa lao bali hawana elimu ya masuala ya sheria hivyo wanajionea sawa tu.
 
Mapanga Shaa zamani zilikuwa ni picha zinazoburudisha sana kwasasa watu wengi wanaumudu sana mchezo huo
 
Sheria ya kulinda CCM tu na kuivuruga CHADEMA kila wakati hiyo ni batili.
 
Hii inchi watu wanazidi kuigawa vipande vipande Sana,ndiyo maana watu hufurahia vifo vya Viongozi wao, mfano kifo cha Magufuri. Utasikitika vipi akifa kiongozi anayetuma polisi wakawapige Viongozi wako?
Hakika umenena vema,halafu wanakuja na kauli za MSIBA HAUZOELEKI,SI VIZURI KUFURAHIA KIFO CHA MWENZIO AU RAIS WAKO,wakati wanapokamata watu kwa makosa ya uongo na kuwatembezea vichapo wao huwa hawasikitiki wala huwa haumii,ila ikifika kwao wanaanza kutafuta huruma za wale wale wanaowatesa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…