Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaripoti Polisi. Hakuna Kiongozi wetu atarudi kwa mashtaka hewa haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe na wenzako mnajiita makamanda,na magwanda mnavaa kumbe huna lolote,makamanda uchwara tuh chadema,wakikumbuka mwenzao Sugu alichofanywa lazima waimbe Kwa sauti ya binti Zuchu(Siendiii)...
 
Sheria zilizoko ndani ya PGO ya polisi hazihitaji SHAHADA YA SHERIA...upo?
 
Sheria zilizoko ndani ya PGO ya polisi hazihitaji SHAHADA YA SHERIA...upo?
Kwahiyo wanasimamia muongozo wa PGO pekee kumbe?

Hivi kwenye hatua za ukamataji ambazo huongozwa na Criminal Procedure Act nazo huwa hawasimamii kumbe?

Vipi kuhusu katiba ya nchi ambayo huwa wanaivunja kwa kupiga marufuku maandamano ya amani yaliyopo kikatiba?
 
Sheria ni sheria....kuivunja ni kosa....
Kwa kweli ukivunja Sheria unaadhibiwa kwa mujibu wa Sheria.Sasa wewe,CHADEMA walivunja Sheria gani???Kifungu kipi katika sheria zetu???Ya mwaka gani???Kwa uzoefu wako hilo kosa walilolifanya CHADEMA liliwahi tokea wapi? Na lilihukumiwaje??
 
Sheria mnazivunja wenyewe msilamizishe. Ni sheria gani iliyowapa policcm kukamata watu na kuwapiga bila ya kosa? Kuna sheria gani inayokataza watu kukusanyika?
 
Naunga mkono hoja, ni mashitaka ya kipumbavu sn
 
Na sasa tutangaze rasmi waislamu wote waelewe kwamba hii sasa ni vita anapigwa mama rais samia kwa kuwa tu ni muislam,
Naomba kabisa kutoka moyoni waislamu wote waelewe kwamba Kinyungu ndio ameanzisha hii habari ya uislam na ukristo kwenye uzi wa siasa,

Kwahiyo waislam wooote tuungane sasa kumuunga mkono muislam mwenzetu ashinde kwa kishindo kikubwa sana ili kuonesha umoja wetu

#waislamwotekurakwasamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…