P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Aug 15, 2024 #81 Ila kiukweli Jeshi la polisi limejidhihirisha wazi na pasipo shaka kuwa sio jeshi la kutulinda wananchi bali kuwalinda CCM
Ila kiukweli Jeshi la polisi limejidhihirisha wazi na pasipo shaka kuwa sio jeshi la kutulinda wananchi bali kuwalinda CCM
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Aug 15, 2024 #82 pilipili kichaa said: Ila kiukweli Jeshi la polisi limejidhihirisha wazi na pasipo shaka kuwa sio jeshi la kutulinda wananchi bali kuwalinda CCM Click to expand... Ukweli ndiyo huo.
pilipili kichaa said: Ila kiukweli Jeshi la polisi limejidhihirisha wazi na pasipo shaka kuwa sio jeshi la kutulinda wananchi bali kuwalinda CCM Click to expand... Ukweli ndiyo huo.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Aug 15, 2024 #83 Smart911 said: Muda utaongea... Cc: Mahondaw Click to expand... Siasa zina hekaheka dahh!! Hapana asee
Smart911 said: Muda utaongea... Cc: Mahondaw Click to expand... Siasa zina hekaheka dahh!! Hapana asee
kunguni masta Senior Member Joined Sep 10, 2016 Posts 142 Reaction score 179 Aug 15, 2024 #84 kilambalambila said: Hata wasiporipoti, lengo la polisi limeshatimia Click to expand... Kyuma wa myamya wako
kilambalambila said: Hata wasiporipoti, lengo la polisi limeshatimia Click to expand... Kyuma wa myamya wako
Samvurah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 532 Reaction score 515 Aug 15, 2024 #85 Etwege said: Kwa kipigo alichopewa Sugu lazima kuna laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ndani yake Click to expand... Ule mzoga ulisahiri kuondoka mkuu .Hata wewe najua ulifurahia .
Etwege said: Kwa kipigo alichopewa Sugu lazima kuna laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ndani yake Click to expand... Ule mzoga ulisahiri kuondoka mkuu .Hata wewe najua ulifurahia .