Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Magu hawezi elewa hicho kinglish labda umuwekee dictionary nne na awe amelewa
Siku hizi simujanja zina dictionary mkuu.
Ina maana Jiwe hataKuGoogle anashindwa?
 
Hali hii unatokana na kutokuaminika kwa TUME iliyopo. Ili kuondoa hali hiyo muundo wa TUME unatakiwa uridhiwe na wadau wengi wa uchaguzi yaani kuwe na Tume ambayo kila Chama kitakuwa na Imani nayo kimuundo.
 
Hali hii unatokana na kutokuaminika kwa TUME iliyopo. Ili kuondoa hali hiyo muundo wa TUME unatakiwa uridhiwe na wadau wengi wa uchaguzi yaani kuwe na Tume ambayo kila Chama kitakuwa na Imani nayo kimuundo.
Wakati unasaini fomu za kugombea hukuyaona hayo?

Uwoga wa kushindwa ni mbaya kama dudu kushindwa kusimama Kwa demu, uanaume woote kwishine,
Ndicho Chadema kimewashika
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki


Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
Si unaona Mbowe kaandika kiingereza anawaandikia wazungu

Safari hii hawa wagombea wa wazungu lazima tuwafungashe virago .Si unaona hiyo meseji ni kwa wazungu sisi lugha yetu ya taifa kiswahili

Lisu mbelgiji na chama chake cha Chadema chenye sera za kizungu hatuwataki .
October 28 wazungu wajiandae wagombea wao Chadema hatuwataki
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki


Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
umewachoka chadema wewe na mmeo?!.
mbona mie na mke wangu hatujawachoka na lakini umetuhusisha pia.
 
Maneno matupu... Mzee wa kubadili gia angani anaona jimbo halielewek urais ndo hamna kabsa!!.. hana pa kushika,, sasa hapa kizunguzungu tayar kimempanda!! Sjuw kujitoa,,!! Bora vurugu tu...
 
Ulitaraji wapiga kura hewa milions wote awaandike Twitter, use your common sense.
 



I am concerned that if election officials do not take these steps, Tanzania’s democracy will lose credibility in the eyes of the international community. More important, the declared winner may lack legitimacy in the eyes of Tanzanians themselves.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 22 October, 2020 | Topics: Op-Eds, Press Releases
 
I hope one day you will understand that "English is a Language and not a measure of Intelligent"

What kind of Intelligent are you talking about? Can you really understand things without knowing the language of study/ learning??
You must be kidding!!
 
Ndio maana ilitolewa nafasi ya Wananchi kwenda kurekebisha taarifa ili hayo yasitokee. kama hukwenda kurekebisha taarifa zako hakuna wa kulaumiwa.
 
Bila kuwa na mawakala kila kituo na kutumia orodha iliyobandikwa kila kituo kutatokea udanganyifu mkubwa
Kila wakala ni lazima awe na nakala ya matokeo halisi kwenye kila kituo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…