Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Wameshikwa pabaya lakini hamna linaloshindikana kwa Mungu
 
Kama kawaida chadema hawacommunicate na wapiga kura bali bwana zao.maana kama ingekuwa hivyo wangekuwa wanatumia lugha ya watanzania. Nakumbuka wakati wa lockdown bwana huyu alikuwa anajifungia kutubagaza kwa lugha hii gongana sasa sijui barakoa na gloves nyeusi kazitupa wapi. Chadema hampo kwa maslahi yetu watanzania. Mtatuuza
 

Elimu yako ni kiwango gani? Ngumbaru au? Yaani ufaulu masomo yanayo fundishwa kwa Kiingereza vizuri wakti lugha ya Kiingereza chenyewe hukijui....?????Sijawahi ona! It's unbelievable!!
Natilia shaka sana elimu uliyo nayo!!!
 
Hahahahahaa propaganda hizi, mshashindwa tayari! Kura zote ni kwa ccm!
 
Upinzani subirieni tu kura mtakazopewa na tume . Hakuna namna nyingine
 
Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga
 
Ni mahali pazuri pa kusimamisha mambo ili haki itendeke hatuwezi kuruhusu uchaguzi wa kijinga namna hii, mara kuenguliwa, mara kuziwa kuapishwa mawakala, mara vituo hewa, hapana sasa basi...
 
Nchi hizi ziitwazo shithole zina maudhi sana. Kama hawataki kutoka madarakani kwa njia ya uchaguzi, wanafanya uchaguzi wa nini. Watoke kwenye udikteta uchwara wawe madikteta kamili ijulikane.


Yesu ni Bwana na Mwokozi.
Shithole countries with shithole leaders to
 
Kuna video mitandaoni inaonyesha wanajeshi wamesambazwa mitaani huko Zanzibar.
Hao wanajeshi nawahurumia sana uko zanzibar. Maana kwanza ni kisiwani. Kipigo watakachopata sijui wataweza kupiga mbizi kurudi bara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…