Your defence to your dictator president doesn't hold even a single drop of water!! It's just propaganda after propaganda, cheating and rigging. Not this time my dear!
Tanzania depends on grants and aids from others countries in Europe, Asia and The USA. Any good leader who knows the importance of Foreign relationship shall at least pay a state visit to any country with close ties to Tanzania.
Our nation budget depends almost by 40% of a total budget! Only a fool like you and your President can disregard this!!
Frankly speaking, Magufuli's enemy numero one preventing him for 5 years without uany state visit in Europe, USA or Asia is the English language!! It's that simple!!
Wewe jamaaa kumbe akili zako makopo kabisa kuliko nilivyodhani, sijui unajiita mzalendo gani wewe bora hata ungejiita beberu kabisa.
Naona una pinga sana Tanzania kujitegemea yenyewe unataka tuendelee kuwapigia magoti wazungu kwani wao ni kina nani hasa ?
Unasema Magufuli hana mahusiano maziri kimataifa, hivi unajua kwanza ni balozi ngapi mpya Tanzania imefungua chini ya Magufuli ambazo hazikwepo kabisa ?
Kama kulipa fadhila ni rais kutembelea hizo nchi zinazotusadia Je mabalozi wetu wana kazi gani kwenye hizo nchi ? Kama unataka magufuli akawatembelee basi ilikuwa haina haja ya rais kuchagua mabalozi kwenda kuwakilisha kwenye hizo nchi, maana mabalozi wameteuliwa ili waende huko wakaendeleze uhusiano mwema kati ya nchi husika zinazoshirikiana, sasa wewe unabweka bweka kitu gani mbwa koko wewe !😥
Tena ulivyo na madharau ya kisenge eti unasema magufuli haendi ulaya na america kwa sababu hajui kingereza,kweli kiakili uko sawa wewe ?
Kwani kingereza nini ? Hivi Trump walipokutana na Kim waliongea lugha gani ?
Tuna Marehemu Gaddafi alikuwa hajui kingereza zaidi ya kiarabu pekee, vipi nchi yake ilikuwa maskini ?
Tatizo akili zako zinaona urafiki wa Tanzania uwe na marekani,uwingereza au Ujeruman ndiyo tutaendelea,
Kwani hatuwezi kuwa na urafiki na China,Urusi au United Arab Emirates na tukaendelea vile vile.
Acha Tanzania ijitegemee kiuchumi achana na upuuzi mwingine, kingereza hakiendelezi uchumi wa nchi wala kuitembelea marekani hukuendelezi uchumi wa tanzania.
Tumeshindwa kuwa wamoja nchi za africa wenyewe tunakatengeza hata pesa moja ikatumika africa nzima kama euro ya ulaya, tumeshindwa tunawawaza mabepari kama wewe.