Mitano tenaHii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .
Wanachama hatutakubari , mh bowe bado sanaMh. Mbowe ametangaza ataachia madaraka mwaka 2023 akiwa Tabora katika muendelezo wa ziara zake za kuimarisha na kujenga msingi wa Chama katika operation Haki.
Source: ITV
Mkuu mh Mbowe asitutanie hatutakubali , na haitakua ngoja nianze muweka kwenye maombi, KAZI alio ianza lazima amalize ,Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .
Hahaha... that's the all idea...watu wataandamana kumfata na kumuomba agombee tena..that way hakuna atakayemwita mpenda madaraka...Bravo Mbowe Kwa calculated move.Wanachama hatutakubari , mh bowe bado sana
Namashaka na shule yako wwAondoke haraka sana amekidumaza sana chama hicho baada ya kuendekeza ukabila na kupeleka kibra wote wanaompinga akiwemo Wangwe
Hicho chama kikichukuliwa na wasukuma kitafika mbali sana.
Faru John ameamua kuachia ngazi au?Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .
Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .
We ya chadema yanakuhusu kwa lipi ,Tulia mkuu , jenga chama chako sisi wanachama hatutakubali full stpoHahaha... that's the all idea...watu wataandamana kumfata na kumuomba agombee tena..that way hakuna atakayemwita mpenda madaraka...Bravo Mbowe Kwa calculated move.
Afanye hivi ili aeupukane na lawama ya chama kumfia mikononi.Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .