Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023

Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
 
Aondoke haraka sana amekidumaza sana chama hicho baada ya kuendekeza ukabila na kupeleka kibra wote wanaompinga akiwemo Wangwe

Hicho chama kikichukuliwa na wasukuma kitafika mbali sana.
 
All the best kwake, mchango wake I can't explain hapa; nia yake, dhamira, utashi, hekima, uvumilivu (kakoswa na mabomu Soweto Arusha, risasi Mkwajuni Dsm). damn the list is endless. I am really proud of this guy.

Chadema ilipata Mwenyekiti the best ever, wamepiga kelele mwizi, sijui nini... but hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kwenda mahakamani, Mbowe aliwaburuza wakaburuzika, walitaka kumuondoa kwa namna zote wakashindwa, leo ameamua kuondoka mwenyewe.

#Mwambahalisi.
 
Wanachama hatutakubari , mh bowe bado sana
Hahaha... that's the all idea...watu wataandamana kumfata na kumuomba agombee tena..that way hakuna atakayemwita mpenda madaraka...Bravo Mbowe Kwa calculated move.
 
Chama kimepoteza mvuto, acha aende zake, labda chadema itafufuka, kaona ruzuku ya kutanua na warembo haipo tena.
 
Hahaha... that's the all idea...watu wataandamana kumfata na kumuomba agombee tena..that way hakuna atakayemwita mpenda madaraka...Bravo Mbowe Kwa calculated move.
We ya chadema yanakuhusu kwa lipi ,Tulia mkuu , jenga chama chako sisi wanachama hatutakubali full stpo
 
Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea

Taarifa zaidi zinafuatia .
Afanye hivi ili aeupukane na lawama ya chama kumfia mikononi.
 
Back
Top Bottom