Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea

Taarifa zaidi zinafuatia .
Mh Mbowe popote ulipo tafadhali Sana kuhusu kauli Kama izi ,hatuzitaki Cha msingi kwa Sasa tujenge chama,

Tiyari umenialibia furaha, weekend ,Sasa wenda KWA akili ya kibinadam unaona unataka kupumzika ila kiroho haitawezekana mh , 4 7 mbatizaji nasema Kama mungu haishivyo , bado Sana kuachia kiti asema bwana ,tafadhali hacha Mara moja mawazo hayo mkuu maana hakiwezi kua
 
Aondoke haraka sana amekidumaza sana chama hicho baada ya kuendekeza ukabila na kupeleka kibra wote wanaompinga akiwemo Wangwe

Hicho chama kikichukuliwa na wasukuma kitafika mbali sana.
Wachawi mbona hamkupeleka ushahidi mahakamani miaka yote? hii propaganda yako imechacha.
 
All the best kwake, mchango wake I can't explain hapa; nia yake, dhamira, utashi, hekima, uvumilivu (kakoswa na mabomu Soweto Arusha, risasi Mkwajuni Dsm). damn the list is endless. I am really proud of this guy.

Chadema ilipata Mwenyekiti the best ever, wamepiga kelele mwizi, sijui nini... but hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kwenda mahakamani, Mbowe aliwaburuza wakaburuzika, walitaka kumuondoa kwa namna zote wakashindwa, leo ameamua kuondoka mwenyewe.

#Mwambahalisi.
Mbowe ameuwa chama kutoka wabunge 100 hadi kubaki mmoja!!
Bora aondoke kabisa
 
Ndio katiba inavyotaka au anang'atuka kwa matakwa yake ila akitaka kuendelea anaendelea tu?

Any way! Kwa hiyo mwisho wa chadema ni 2023? Maana huwa wanasema Mbowe akitoka chadema itakufa,,,
 
Alazimishwe, atake asitake mpeni mitano tena
Ccm mtasema nini ,mnajua gharama ya kupambania democracy,wapo wanao jua ila sio wote ndani ccm ,wengi mmedandia tren katikati ya safari alafu Ndo mwajifanya wafia chama, kaeni na wazee wawape walipitia mangapi, tangu TANU ,ASP mpaka kuzaliwa KWA ccm,

Hivyo hivyo Kuna kizazi kitakuja na kukuta CHADEMA Ipo imara Sana nakuanza jitutumua bila kujua yapi Chadema imeyapitia
 
Hahaha... that's the all idea...watu wataandamana kumfata na kumuomba agombee tena..that way hakuna atakayemwita mpenda madaraka...Bravo Mbowe Kwa calculated move.
Mbowe akigombea uenyekiti Chadema hata leo ukasimame nae huwezi kumshinda, his track record speaks for itself, hiki ulichoandika hapa hakiendani na mtu unaemzungumzia, hana sababu ya kulazimisha kupendwa yule, anaaminiwa na wote wanaoipenda Chadema.
 
Ndio katiba inavyotaka au anang'atuka kwa matakwa yake ila akitaka kuendelea anaendelea tu?

Any way! Kwa hiyo mwisho wa chadema ni 2023? Maana huwa wanasema Mbowe akitoka chadema itakufa,,,
Ngoja waje na majibu ya ******
 
Ndio katiba inavyotaka au anang'atuka kwa matakwa yake ila akitaka kuendelea anaendelea tu?

Any way! Kwa hiyo mwisho wa chadema ni 2023? Maana huwa wanasema Mbowe akitoka chadema itakufa,,,
Magufuli aliahidi kuiteketeza CHADEMA kufikia 2020. Na alijitahidi kweli lakini kaiacha CHADEMA intact.

Wassira alitabiri kifo cha CHADEMA, matokeo yake yeye mwenyewe, baada ya kugaragazwa na binti mmoja katika ubunge, alishafutika kisiasa.

Ametangaza kung'atuka 2023, hiyo itakuwa baada ya kutumikia uenyekiti miaka 5 toka alipochaguliwa.

Ni habari njema sana kwa CCM
 
Ccm mtasema nini ,mnajua gharama ya kupambania democracy,wapo wanao jua ila sio wote ndani ccm ,wengi mmedandia tren katikati ya safari alafu Ndo mwajifanya wafia chama, kaeni na wazee wawape walipitia mangapi, tangu TANU ,ASP mpaka kuzaliwa KWA ccm,

Hivyo hivyo Kuna kizazi kitakuja na kukuta CHADEMA Ipo imara Sana nakuanza jitutumua bila kujua yapi Chadema imeyapitia
Mkuu nisome tena kisha soma ulichoandika
 
Back
Top Bottom