Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Kwa zile kura za kwenye mabegi meusi, tiki kwa wagombea wa CCM ziliwekwa kwenye ofisi za SM, mabegi yakafichwa kwenye vituo vya polisi.
Amekiri aliweka wagombea dhaifu

Magufuli aliahidi kuiteketeza CHADEMA kufikia 2020. Na alijitahidi kweli lakini kaiacha CHADEMA intact.

Wassira alitabiri kifo cha CHADEMA, matokeo yake yeye mwenyewe, baada ya kugaragazwa na binti mmoja katika ubunge, alishafutika kisiasa.

Ametangaza kung'atuka 2023, hiyo itakuwa baada ya kutumikia uenyekiti miaka 5 toka alipochaguliwa.

Ni habari njema sana kwa CCM
Intact wakati ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa? Nafikiri ubongo wako haufanyikazi vizuri nenda kwa daktari ukatibiwe!
 
Magufuli aliahidi kuiteketeza CHADEMA kufikia 2020. Na alijitahidi kweli lakini kaiacha CHADEMA intact.

Wassira alitabiri kifo cha CHADEMA, matokeo yake yeye mwenyewe, baada ya kugaragazwa na binti mmoja katika ubunge, alishafutika kisiasa.

Ametangaza kung'atuka 2023, hiyo itakuwa baada ya kutumikia uenyekiti miaka 5 toka alipochaguliwa.

Ni habari njema sana kwa CCM
Ulichojibu hakiendani na swali.

Kwa mujibu wa mshabiki wajinga wa chadema ni kwamba Mbowe akitoka kwenye hiyo nafasi wengine watauza chama na kukiua.

Mbowe katangaza kung'atuka 2023. Swali, je mwisho wa chadema ni 2023?
 
Kwa zile kura za kwenye mabegi meusi, tiki kwa wagombea wa CCM ziliwekwa kwenye ofisi za SM, mabegi yakafichwa kwenye vituo vya polisi.
Mbowe amekiri yeye mwenyewe kwenye uchaguzi mkuu 2020 alisimamisha wagombea dhaifu
 
Mbowe akigombea uenyekiti Chadema hata leo ukasimame nae huwezi kumshinda, his track record speaks for itself, hiki ulichoandika hapa hakiendani na mtu unaemzungumzia, hana sababu ya kulazimisha kupendwa yule, anaaminiwa na wote wanaoipenda Chadema.
Hahahaha...kama nilivyosema awali...Mbowe ni master na kacheza kama Pele na wala sikubishii mkuu
 
Kwahiyo mwisho wa chadema ni 2023?

Maana mwenyekiti wenu ndio anang'atuka na hakuna mwingine kama Mbowe maana wengine watauza chama
Magufuli alinajisi CCM kikawa chama cha majambazi ya kunyang'anya fedha wa watu kwa kutumia bunduki za serikali!
 
Kikubwa asitengeneze nafasi ya Kiongozi mkuu wa chama ili kuendelea kuongoza wale wanachama wenye "kadi hisa za platinum ", wakati wale wa "kadi hisa mchekea" wakibaki kwa mwenyekiti wa chama.

Ni angalizo tu!
 
FB_IMG_1589397986327.jpg
 
Kikubwa asitengeneze nafasi ya Kiongozi mkuu wa chama ili kuendelea kuongoza wale wanachama wenye "kadi hisa za platinum ", wakati wale wa "kadi hisa mchekea" wakibaki kwa mwenyekiti wa chama.

Ni angalizo tu!
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana_na_Waziri...jpg
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023

Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Kwa taarifa hii #kamanda asiyechoka
Atakuwa amefurahi sana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom