Pre GE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata sisi tusio na vyama huwa tunajiuliza swali hilo hilo tangu 61 mpaka leo CCM madarakani seriously??? Embu mkuu nisaidie jibu hapa
Sasa unataka Chama gani wakati wanashindwa kwenye uchaguzi? Mbowe kafanya uchaguzi lini?
 
Vyama vya ukombozi vyote kukiwa na mtu mwenye uwezo wa kuongoza huwa anaachwa madarakani mpaka ukombozi upatikane, acha kwanza mbowe awanyooshe kisha atamwachia Tundulisu
.
Chama cha ukombozi kilikuwepo TANU na ASP.
 
Tangu uhuru tunaongozwa na TANU na CCM hivi umaskini wetu lini utapungua??
Hujui historia ya Tanzania wewe huenda wewe ni mkikuyu toka Kenya. CCM ilianzishwa 1977 uhuru tulipata 1961. Nikikuita wewe ni mjinga nitakuwa nimekosea?
 
MKUU UNGEANDIKA KITABU UNAJAZA SERVER KWA UCHAFU WA AINA HII NANI ATAPOTEZA MUDA WAKE KUUPITIA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hakuna maneno ya jumla jumla hapo Watu wafupi kazi yenu kupoteza muda tu,hamnaga jipya.sasa hapo hujaelewa nn?
Wewe chako ni cm ngapi? Usije ukajiita mrefu kumbe ni mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…