residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Tafadhali naomba hizo kashfa alizozisema Lissu kwa Mbowe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno mazito sana,hakika wewe ni miongoni mwa watu wachache JF wenye akili kubwa.Wewe ni zaidi ya kipofu.
Hujui aliyoyafanya Mbowe kumuokoa Lissu hao watu wengi walikuwa wanasaidia bila coordination na maamuzi?
Bila Mbowe kukataa Lissu angepelekwa Muhimbili na huko angemaliziwa.
Mbowe alikaa Nairobi miezi minne akimuuguza na pia akitafuta pesa toka vyanzo mbalimbali ili Lissu azikiwe.
Subiri uone Lissu wako atakavyomaliza safari yake ya kisiasa akiwa dhalili. Nyie mnaomvimbisha kichwa mkiwa katika key board hamtamsaidia lolote mpaka sasa mmeshindwa kukamilisha hata mchango wa kumnunulia gari mwaka .zima mnachangishana.
Na alie toa chopa ni mwanaccm tena wa visiwani na nadhani ashatangulia mbele za haki. Mengine anazidi kujionesha kuwa akimsaidia mtu basi hataki huyo mtu amzidi kwa lolote. Bi aibu na inamshushia heshima aliyoyojijengea kwa miakaHii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.
Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.
Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
Inakuwaje aibu kusema hela unayoidai kwa mtu?Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.
Kwanini Mbowe awatume wapambe wake kumshambulia Lissu?Sio kisa kugombea uenyekiti shida anagombea uenyekiti kwa kumchafua, hata mimi siwezi kukubali , kinyago nikichonge mwenyewe halafu kinitishe. Yeye TAL kama alitaka nafasi ya uenyekiti wangeongea kama wanafamilia ya chadema na hata kama mazungumzo yalishindikana haikuwa busara kwa yeye TAL kutoka hadharani na kuanza kumkashifu na kumtuhumu mwenzie.
Angegombea hiyo nafasi bila kashfa angepungukiwa nini!??. Anatafuta kuonekana shujaa kwa mgongo wa wengine, ni upuuzi.
Ni aibu kubwa kwa HESLB. Hawana rekodi za wadaiwa wao? Wanashindwa nini kuwasiliana na NIDA, TRA, Immigration, RITA na mamlaka zingine ili kujua wadaiwa wao walipo?Inakuwaje aibu kusema hela unayoidai kwa mtu?
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanzisha mpango wa kuwafichua wadaiwa wake. Je, hiyo ni aibu kwa Bodi na serikali?
View attachment 3195815
Mbowe ana upep mdogo sana wa kufikiriHii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.
Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.
Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
Napigilia Msumari..."Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote." Hilo tu ndilo watu wanashupaza Shingo na kukataa kulijua.Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.
Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.
Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
Tuweke mambo ya siasa pembeni, ukweli ni kwamba Mbowe aliokoa maisha ya Lissu na asingewahishwa Kenya angemaliziwa hata kwa sindano ya simu.Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.
Mbowe kama kiongozi mkuu wa CHADEMA hakuwa na jinsi ya kukwepa jukumu la kuhakikisha Lissu anapata huduma. Macho ya watu wote yalikuwa kwake. Alichofanya ni moja ya majukumu yake na sio lazima atake fadhila kwa Lissu. Tatizo huyu mtu anaangalia kila kitu kama fursa ya biashara. Ni aibu kwake na Wenje kuanza kusema kuna hela wanamdai Lissu kwa kumsaidia kwenye matibabu yake.
Ninamsihi Sultani Mbowe ajaribu kujenga hoja za kisomi badala ya kuachia hoja za kipuuzi kama mpambe wake Yericko.
Swali kwako mkuu. Ukisaidiwa huna haki ya kujipambania zaidi hata kumchallange alie kisaidia..? Ni jambo baya na ovu kuona mtu fulani hastahili kupingwaTuweke mambo ya siasa pembeni, ukweli ni kwamba Mbowe aliokoa maisha ya Lissu na asingewahishwa Kenya angemaliziwa hata kwa sindano ya simu.
Binadamu huokoana, huuana, hutiana matatizoni nk. Upumbavu wa kumuhusisha huyo Mungu(imaginary supernatural 'thing') katika kila jambo inamaana hata ajali za barabarani, vifo vya kina mama wakati wa kujifungua hupangwa na Mungu.
Pia watu wakisha kujua kuwa hushauriki na hutaki kuachia cheo husika lazma watafute mbinu. Si amini kuwa lissu yupo peke yake. Kuna vigogo wengi tu na wanachadema wengi tu hawamtaki mbowe kwa sasa na ipo wazi aina ya siasa zake kwa sasahazina maajabu tenaTuweke mambo ya siasa pembeni, ukweli ni kwamba Mbowe aliokoa maisha ya Lissu na asingewahishwa Kenya angemaliziwa hata kwa sindano ya simu.
Binadamu huokoana, huuana, hutiana matatizoni nk. Upumbavu wa kumuhusisha huyo Mungu(imaginary supernatural 'thing') katika kila jambo inamaana hata ajali za barabarani, vifo vya kina mama wakati wa kujifungua hupangwa na Mungu.
Sasa mbona unajijibu mwenyewe? Unalalamika nini sasa kwa Mbowe kudai aliokoa maisha ya Lisu?Sasa wewe K ulitaka kiongozi mkuu wa chama afanye nini kama sio kuhakikisha mwanachama wake anakuwa salama?
Mbowe alifanya yote na CCM only few, walifanya yote na Kenya walifanya yote na Ubelgiji walifanya yote na familia walifanya yote kuokoa maisha yake na hakuna anayepaswa kudai. Mbona Samia alikuja Nairobi kumsalimia, lakini kisiasa Lissu bado anamkosoa vilevile.Wewe ni zaidi ya kipofu.
Hujui aliyoyafanya Mbowe kumuokoa Lissu hao watu wengi walikuwa wanasaidia bila coordination na maamuzi?
Bila Mbowe kukataa Lissu angepelekwa Muhimbili na huko angemaliziwa.
Mbowe alikaa Nairobi miezi minne akimuuguza na pia akitafuta pesa toka vyanzo mbalimbali ili Lissu azikiwe.
Subiri uone Lissu wako atakavyomaliza safari yake ya kisiasa akiwa dhalili. Nyie mnaomvimbisha kichwa mkiwa katika key board hamtamsaidia lolote mpaka sasa mmeshindwa kukamilisha hata mchango wa kumnunulia gari mwaka .zima mnachangishana.
Hii ndio maana ya "Tenda Wema uende zako....!"Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni kauli ya kipuuzi mno.