Sijaongelea mambo ya kupingwa au la, wapingane watakagyoweza hata wachafuane na kufanyiana figisu kama inavyoendelea mitandaoni na kwenye media uchwara. It's their own business.
Hapa topic iliyopo ni kuhusu Mbowe kuokoa maisha ya Lissu which is very true, kusema hakuna mwanadamu anayeokoa maisha ya mwanadamu bali ni Mungu ni stupidity at it's highest level. Kama ingekuwa hivyo basi huyo Mungu anapendelea first world countries sana na kizionea nchi za third world ambapo watu hufa haraka(average life expectancy ya third world iko chini), watu wanaokoana maisha, wanauana na pia wanadhuriana hivyo kuingiza upuuzi wa Imani ambazo si kila mwanadamu anaziamini it is so absurd.