Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

Wewe tumbili kaanzishe chama chako ambacho hakiamini kuhusu Mungu kwa sababu hata CHADEMA hujinadi kuwa chama chao ni "mpango wa Mungu"...
 
Hayo yote Mbowe ni sehemu ya sera zake?? Je kwa lisu kugombea ni haki ya kidemokrasia au sio haki?? Kama ni haki why mbowe anapata mchecheto
Mbowr hajawahi kupinga Lissu kugombea uenyekiti, anachosisitiza mtu yeyite anaruhusiwa kugombea nafasi yeyote, ila mgombea yeyote akiwemo Lissu afanye kampeni ya kistaarabu asikibomoe chama ili akishinda iwe rahisi kuendeleza chama. Kama ungekuwa mfuatiliaji mzuri ungelielewa hilo.

Kinyume chake Lissu na wafuasi wake ndio hawataki Mbowe agombee.
 
Sawa. Hoja yangu masuala ya ugonjwa wa lisu ni sehemu ya sera zake za kunadi??
 
Mbowe alivyomtuma Yericko kumshambulia Lissu aliwaza kwa kutumia nini?
 
Kiufupi Lissu ni mpuuzi!
 
Lisu hafai kuwa kiongozi, anaongea sana bila mipaka.
 
Kama ametamka hayo na anaendelea kutamka basi tunaendelea kusikitika kuwa na
Mbowe kama mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka 20,akiwa hana uvumilivu wala ukomavu wowote.
 
Ndo mapinduzi ndani ya chama,unadhani Lissu akipita na wale pro Lissu wenye msimamo mkali watakubali Team Mbowe ibaki kwenye nyadhifa za uongozi wa kanda na taifa?
Yawezekana kabisa mgawanyiko huu utakiumiza chama siku za mbeleni.
 
Tumezoea uongo ndio tatizo linalotusumbua watanzania,Lissu hana tatizo.
Wapi nimesema kasema uongo? Nimesema anaongea sana, na hana mipaka ya nini aongee na nini kiwe cha kamti za uongozi. Akishinda inabidi waandishi wa habari wawe wanishi ofisi za chadema, maana hatutapumzika hizo press kwa miaka mitano.
 
Basi nasisi tumdayi Mbowe hela zetu tulizo mchagia wakati walipo taka kufungwa miaka minne na Magufuli. Wananchi tukachaga fine zao wakaachiwa. Yaani kumbe wanje anamdai Tundu hela alizo mchangia kwenye matibabu? Kweli Mbowe na watu wake ni so selfish.
 
Mbowe hana sera. Hilo lina eleweka.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hivi hakuna mwngne aliyechkua fom ktaka uenykt CDM!? Wanaruhsiwa, hawaruhsiwi? Wangpi wamechkua? Kama wanaruhsiwa mbn hii ya TAL imekua balaa!! Na inaonekana chama tawala wamechafkwa zaidi! Kama vile wanaona Mbowe anaonewa!
Mm nlifikiri alchofanya Mkt kuokoa maisha ya makamu wake ilkua ubinadamu na wajibu - axingeeleweka angemuachia afe wkt alkua na uwezo wa kuzuia kifo na kama kiongozi aliepo ktk eneo la tukio axingeeleweka ikiwa axingechkua hatua chanya ktk eneo hilo.
Xaxa mchakato wa kidemokraxia umejitokeza unaohuxu uenyekiti na watu wanachafukwa- xi kw ajli mchakato wa kikatiba kuh. nafasi ya mkt umevrugwa bali kwmb kajtokeza mwamba mngne tishio!
Baadhi tlitegmea wapenda mageuzi/demokrasia wafrahie- kwmb Tz tumepiga hatua lkn wp!
Ktendo cha chama tawala kushabikia kinafanya wana CDM wajiulize- "...chama tawala kuonyesha kumshabikia 1 wa washindani, kunaashiria nn kumhusu mgombea huyo? ...nk" Huenda ikawa kweli kw wana CDM kua "rafiki wa adui yako ni adui yako" hivo wamuone huyo kuwa kama mxaliti ...nk
 
Hivi hakuna mwngne aliyechkua fom ktaka uenykt CDM!? Wanaruhsiwa, hawaruhsiwi? Wangpi wamechkua? Kama wanaruhsiwa mbn hii ya TAL imekua balaa!! Na inaonekana chama tawala wamechafkwa zaidi! Kama vile wanaona Mbowe anaonewa!
Mm nlifikiri alchofanya Mkt kuokoa maisha ya makamu wake ilkua ubinadamu na wajibu - axingeeleweka angemuachia afe wkt alkua na uwezo wa kuzuia kifo na kama kiongozi aliepo ktk eneo la tukio axingeeleweka ikiwa axingechkua hatua chanya ktk eneo hilo.
Xaxa mchakato wa kidemokraxia umejitokeza unaohuxu uenyekiti na watu wanachafukwa- xi kw ajli mchakato wa kikatiba kuh. nafasi ya mkt umevrugwa bali kwmb kajtokeza mwamba mngne tishio!
Baadhi tlitegmea wapenda mageuzi/demokrasia wafrahie- kwmb Tz tumepiga hatua lkn wp!
Ktendo cha chama tawala kushabikia kinafanya wana CDM wajiulize- "...chama tawala kuonyesha kumshabikia 1 wa washindani, kunaashiria nn kumhusu mgombea huyo? ...nk" Huenda ikawa kweli kw wana CDM kua "rafiki wa adui yako ni adui yako" hivo wamuone huyo kuwa ...nk
Ni aibu kubwa kwa HESLB. Hawana rekodi za wadaiwa wao? Wanashindwa nini kuwasiliana na NIDA, TRA, Immigration, RITA na mamlaka zingine ili kujua wadaiwa wao walipo?
Hapo ndo "fumbo la imani" lilipo. Unaanzisha asasi kw mbwmbwe zote, ina madhumuni, malengo na majukumu yanaorodheshwa - halafu wanaomba mxaada waxaidiwe kazi na wananchi! Ukiingia maofxini mwao, kumejaa makomputa aina kw aina ...dah!
 
Kama kashindwa milion 30 hizo nyingine itakuwaje.Mtu kama Mbowe busara zake zinamfanya awe na marafiki wengi wanaomsapot.Shida ya Lisu ana marafiki wa mdomo na sio wa vitendo na sio marafiki wa kweli ndio maana wanamshauri awe mjeuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…