Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona kuna mlinzi hapo nyuma anafikiria atakapoishika nchi😂View attachment 1449787
View attachment 1449789
Tuendelee kunawa mikono huku tukifuatilia Hotuba hii itakayotoa muelekeo wa Taifa letu
Kwahiyo Rais pekee ndiye ana uwezo huo?
Anawaza huyu JK naye yukoje,badala ya kuwasweka lumande eti yeye anaongea nao!Subiri wajichanganye wanipe nchi,wapinzani watalimia meno!😀😀naona kuna mlinzi hapo nyuma anafikiria atakapoishika nchi😂
hizi akili zinapaitikana pale kwenye korido za lumumba
Ha hahaaaaaaaaaa, yan umenifanya ncheke mwenyewembowe ni wa kukamata,hotuba zake za hivi karibuni zinataka kupita idadi ya za meko kwa miaka yote 5,alafu akihotubia taifa anaongea point nzito nzito kuzidi meko🤣🤣
Meko anaumia sana
kwakweli, na ndio hichi tunachokiona now daysAnawaza huyu JK naye yukoje,badala ya kuwasweka lumande eti yeye anaongea nao!Subiri wajichanganye wanipe nchi,wapinzani watalimia meno!😀😀
Hao ni wapinzani waimba mapambioPoliccm watakuja kuvuruga wakati TLP juzi waliruhusiwa na NCCR mageuzi jana pia waliruhusiwa huko mtwara
Mbowe rudisha posho hatutaki kusikia bla bla
Kama namuona jiwe akihanyahanya..
Sikiliza wewe! Wanaohuutubia Taifa ni viongozi wakuu wa nchi mfano Rais ndo maan watu nchi nzima wanakua wana take attention ataongea nini.Sasa mtu mwenyekiti wa saccos hiyo ya ufipa useme anahutubia Taifa! wangap watamsikiliza!.Kwahiyo Rais pekee ndiye ana uwezo huo?
TV station gani?Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mh Freeman A. Mbowe leo Alhamisi Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi.
View attachment 1449782
Ayo!