Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

Mbowe rudisha posho hatutaki kusikia bla bla
2397479_2396248_20200511_084948.jpg
 
Tunamsubiri kamanda mkuu kwa hamu. Tunahitaji mtu wa kutupa mwongozo sasa manake anayetakiwa kufanya hivyo ndio hivyo tena amesepa.
 
Kama hawamzuia utasikia Mbaba naye akituhutubia kabla au mara baada ya Mh.Mbowe.
Mbaba na watu wake wanataabika sana maana mambo hayaendi,uchumi upo ICU,COVID-19 inamaliza nguvu kazi ya nchi,huku wapinzani ni akiendelea kufurukuta pamoja na mapigo yote yaliyotumia gharama kubwa mno.Unafikiri sababu za stresses ni zipi?
Kama namuona jiwe akihanyahanya..
 
Back
Top Bottom