Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
una uhakika na ukisemacho ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una uhakika na ukisemacho ?
Atazungumza na taifa? TehtehtehtehMwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
Hii imekuwa ni ndoto ya wana Lumumba kwa muda mrefu...Atangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ofisi ya KUB kufuli linaning'inia mlangoni sijajua kulikoni!Ameshaanza KUB na yuko live Chanel gani? Au kama kuna link ya kumsikiliza live wekeni hapa.
Maendeleo hayana chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wew hutamsikiliza ni wewe!Ameshahutubia taifa sio mara moja na watu wakamsikiliza na hotuba zake zimekuwa na mijadala mipana sana!Hutaki acha!Sikiliza wewe! Wanaohuutubia Taifa ni viongozi wakuu wa nchi mfano Rais ndo maan watu nchi nzima wanakua wana take attention ataongea nini.Sasa mtu mwenyekiti wa saccos hiyo ya ufipa useme anahutubia Taifa! wangap watamsikiliza!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashindwa kuivusha chadema kushika dola huyo amefelHii imekuwa ni ndoto ya wana Lumumba kwa muda mrefu...
Ni kweli Mbowe amekuwa ni kikwazo (kisiki) kwa namna anavyoruka viunzi toka kundi la Lumumba na kuendelea kuijenga taasisi yake kuwa Imara zaidi na zaidi.
Tayari CDM ishashika dola mbona, mkuu upo nchi ipi wewe?
Nasikia ameitwa polisi Oysterbay..View attachment 1449787
View attachment 1449789
Tuendelee kunawa mikono huku tukifuatilia Hotuba hii itakayotoa muelekeo wa Taifa letu
Crimea, kama wewe na Ndugui wenu ambao akili zenu zinathibitiwa na jiwe. MMelewa mvinyo wa jiwe hata mmeshindwa kufikiri. Poleni sanaAtangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Atangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Shimo lipi?Yawezekana kuna mtu mmoja amewashika akili BAVICHA na CHADEMA nzima kiasi hicho uonacho! Hao Bavicha na Chadema ni kiasi gani!?
Kuna mtu anaitumbukiza Tanzania yote na watu wake wapatao 60 milioni kwenye shimo.
Nani wa kushughulikiwa au kujiuzulu hapo!!??
Sawa mwalimu wa mwandiko JfPunguza jazba
Shimo lipi?
Usiniambie kwakuwa hakuweka lockdown? Ndio shimo hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
mda wa karanteen umefika? Mbona tuliambiwa watakaa week mbili, kweli Zito aliwahi kusema usimwamini mwanasiasa. Mungu ibariki TanzaniaMwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
Mboyu keza mbochi [emoji28][emoji28][emoji28].Atangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app