Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
Atazungumza na taifa? Tehtehtehteh
 
Atangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imekuwa ni ndoto ya wana Lumumba kwa muda mrefu...
Ni kweli Mbowe amekuwa ni kikwazo (kisiki) kwa namna anavyoruka viunzi toka kundi la Lumumba na kuendelea kuijenga taasisi yake kuwa Imara zaidi na zaidi.
 
Sikiliza wewe! Wanaohuutubia Taifa ni viongozi wakuu wa nchi mfano Rais ndo maan watu nchi nzima wanakua wana take attention ataongea nini.Sasa mtu mwenyekiti wa saccos hiyo ya ufipa useme anahutubia Taifa! wangap watamsikiliza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wew hutamsikiliza ni wewe!Ameshahutubia taifa sio mara moja na watu wakamsikiliza na hotuba zake zimekuwa na mijadala mipana sana!Hutaki acha!
 
Hii imekuwa ni ndoto ya wana Lumumba kwa muda mrefu...
Ni kweli Mbowe amekuwa ni kikwazo (kisiki) kwa namna anavyoruka viunzi toka kundi la Lumumba na kuendelea kuijenga taasisi yake kuwa Imara zaidi na zaidi.
Kashindwa kuivusha chadema kushika dola huyo amefel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana kuna mtu mmoja amewashika akili BAVICHA na CHADEMA nzima kiasi hicho uonacho! Hao Bavicha na Chadema ni kiasi gani!?
Kuna mtu anaitumbukiza Tanzania yote na watu wake wapatao 60 milioni kwenye shimo.
Nani wa kushughulikiwa au kujiuzulu hapo!!??
Atangaze kujiuzulu kabisa!
Haiwezekani mtu mmoja awashike akili bavicha nq chadema nzima kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana kuna mtu mmoja amewashika akili BAVICHA na CHADEMA nzima kiasi hicho uonacho! Hao Bavicha na Chadema ni kiasi gani!?
Kuna mtu anaitumbukiza Tanzania yote na watu wake wapatao 60 milioni kwenye shimo.
Nani wa kushughulikiwa au kujiuzulu hapo!!??
Shimo lipi?

Usiniambie kwakuwa hakuweka lockdown? Ndio shimo hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie,mbona unaniwekea maandishi kwenye mkono wangu,tena huku ukijiuliza na kujijibu!!?
Badala ya kumpigania mtu,jitahidi kupigania familia yako hasa watoto (kama unao), ili wasije kuathirika kama wewe kwa kuzaliwa katika umasikini uliotopea, uliosababishwa na chama cha zamani unachokipigania,kulikopelekea wewe kukosa matunzo yanayostahili kwa mtoto ili awe na ukuaji mzuri wa kiakili,kimwili na kiroho.
Shimo lipi?

Usiniambie kwakuwa hakuweka lockdown? Ndio shimo hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara kuzungumza na umma, hautafanyika kama ilivyopangwa, baada ya Jeshi la Polisi kumhitaji akaripoti Ofisi ya RCO Kinondoni, Kituo cha Polisi Oyster bay.
 
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
mda wa karanteen umefika? Mbona tuliambiwa watakaa week mbili, kweli Zito aliwahi kusema usimwamini mwanasiasa. Mungu ibariki Tanzania
 
-Mhe. Mbowe . MKT. wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Upinzani BUNGENI ( KUB) aliyekuwa aongee na waandishi wa HABARI leo saa TANO asbh , ameshindwa kufanya HIVYO baada ya MAGARI ya POLISI kumzuia kutoka kwake na kutakiwa kuripoti kwa RCO Kinondoni. Ameshikiliwa OYSTERBAY Police.
 
Back
Top Bottom