Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola" kama unataka "kum-deep" jamaa yako.

Ndani ya Bills aka Bilicanas....Ile ya NHC na Mchechu!!Wakati wakina fulani wana miaka minne tu ya Ubunge.Hoyce Temu Miss Tanzania 1999 na Aikael F. Mbowe.Kumbukumbu ya wakati huo.Ama hakika wakati ni ukuta.Nyakati ngumu hudumu,lkn watu wagumu hupita na kutoweka!!

View attachment 398441
Duu na huo mbwanga ka lokasa ya mbongo
 
Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.

Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.

Sasa magu ndio mtoto wa mjini na anahamisha watu toka nhc city center kuwarudisha vijijini kwao hai ...ama kweli aliyejuu mshushe chini
 
Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.

Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.

Na kuogelea kwenye madimbwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaha Kwahiyo town kaja majuzi tu

Safi sana Mbowe, wakati huo yule jamaa alikuwa anavaa makoti kama mvuvi, alikuwa hajui hata kiswahili ha ha ha ha
Huu ushabiki unawatia watu upofu mbaya unaokupoteza na kukuwekea ukungu wa ubongo na kupotosha kwa makusudi.
Hii yote kwa sababu ya ulimbukeni wa ushabiki wa kisiasa wa kuangalia kila kitu kwa ushabiki na jicho la kengeza.
Unamshabikia Mbowe na Chama chake na unamdis Magufuli na chama chake hadi unajiaibisha.
Kwa taarifa yako na huyo mnayemuita mtoto wa mjini.
Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati huo na Mwaka 2000 akawa Waziri kamili.
Acheni kufuata mkumbo na ushabiki maandazi....kisa tu ccm na chadema...
Jambo hili limeiharibu sana JF na thamani yake.
 
Alikuwa tayari ameshamaliza chuo kikuu na pia naibu waziri. Kalagabaho na Mbowe wako.
Unapanic naona watu mnamuona huyu kama mungu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Huu ushabiki unawatia watu upofu mbaya unaokupoteza na kukuwekea ukungu wa ubongo na kupotosha kwa makusudi.
Hii yote kwa sababu ya ulimbukeni wa ushabiki wa kisiasa wa kuangalia kila kitu kwa ushabiki na jicho la kengeza.
Unamshabikia Mbowe na Chama chake na unamdis Magufuli na chama chake hadi unajiaibisha.
Kwa taarifa yako na huyo mnayemuita mtoto wa mjini.
Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati huo na Mwaka 2000 akawa Waziri kamili.
Acheni kufuata mkumbo na ushabiki maandazi....kisa tu ccm na chadema...
Jambo hili limeiharibu sana JF na thamani yake.

Acha upuuzi wewe.

Hakuna sehemu aliyotajwa Magufuli. Na hakuna sehemu yenye ukweli wowote kuhusu kilichoandikwa.

Sio kila kitu uchukulie personal hata palipowekwa utani.
 
Acha upuuzi wewe.

Hakuna sehemu aliyotajwa Magufuli. Na hakuna sehemu yenye ukweli wowote kuhusu kilichoandikwa.

Sio kila kitu uchukulie personal hata palipowekwa utani.
Ha ha ha.....aisee hebu tulia basi uirudie mada toka mwanzo, uanzie kwenye mjadala wa picha ushuke taratibu...
Basi kama kulikuwa na utani si useme tu kwa utaratibu??
Mbona hata sie baadaye tuliambiwa "kufyatua" ni utani kwa wazaramo??

Ha ha ha..
Sijui anayehemuka hapa ni nani...
Kuna watu wanadhani 1999 Mbowe pekee ndo alikuwa mjini; au nao walikiwa wanatania ha ha ha.
 
Ina maana nilikuwa sijui historia ya JP?

Acha kuchukulia kila kitu personal ndugu.

Utakufa kwa presha kwa vitu vidogo sana.
 
Back
Top Bottom