Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

maskini weee! Ungejua hayo unayoyasema kwa viongozi wako ndo ni mara 100 zaidi wala usingesema! Jk ana watoto hakunaga kamwe. Malima aliibiwa pale morogoro hotel huku akizini na malaya. Usisingizie dini katika hayo, hapo ni suala la tamaduni za kiafrika halina uccm ,uchadema waka ucuf. Halina muislamu wala mkristo. Jamii yetu ina masheikh, mapadre na hata maaskofu wenye watoto kibao huko mitaani tena wa nje ya ndoa!
 
Sio hivyo tu Faiza. Kumpatia mama huyu Ubunge wa VITI MAALUM ni ufisadi maalum wa kodi zetu kwa kuwa inabidi kodi zetu zimsaidie Mh Mbowe kumtunza mama huyu na mwanae.

Eti Mh Mbowe naye alisimama kuipigia kelele Escrow!
 
haa haa hilo ni kweli, kama tungetaka kupingana na tamaduni zetu tungeliweka hili kwenye katiba yetu!
 
Dah!!! Hii issue ndogo but L7 wameishikia bango sana,wamemsahau mkulu anao wangapi,swala la mwanaume wa kiafrika kuwa shababi linawasumbua au mlitaka azalishe dada zenu,jadilini mambo ya maana.
 
ASKOFU Kakobeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo huku waumini wako wa UKAWA wamezini ulikuwa wapi wakazini hadi kuzaa?
 
Mbona utafiti unaonyesha kwamba kila aliyepo mtaa wa Lumumba ni Mzinzi na wewe husemi????
Uzinzi unaogharamiwa kwa kodi zetu ni mbaya sana. VITI MAALUM vya CHADEMA vinapaswa kuchunguzwa kuona undugu, uzinzi na uswahiba umeligharimu taifa kiasi gani.

Mbowe ana huyo Mukya; Dr Slaa ana Rose Kamili; Tundu Lissu ana mdogowake Christina; Mzee Ndesa ana binti na mkwe;...
 

Kwa hiyo na chadema wanafata "viongozi" wangu? hebu kuwa na mantiki japo kiduchu, watu wema hawafati mabaya ya wenzao.
 
Ni Rijali...... kama angekuwa hazalishi au ni shoga ingekuwa 'NEWS'
Lakini hii ni sawa kabisa, kila mtu ana haki ya kuzaa popote,,,Babu yangu ni Mkristo, lakini anamiliki wake 3.
Si lazima tufuate upuuzi wa wazungu wa mke mmoja wa kinafki.
 
haa haa kwani hiyo kodi inakusanywa na serikali ya chama gani? Mbona malima alitumia pesa ya umma kuzini na malaya pale morogoro hotel?
 
Ni Rijali...... kama angekuwa hazalishi au ni shoga ingekuwa 'NEWS'
Lakini hii ni sawa kabisa, kila mtu ana haki ya kuzaa popote,,,Babu yangu ni Mkristo, lakini anamiliki wake 3.
Si lazima tufuate upuuzi wa wazungu wa mke mmoja wa kinafki.
Hakuna anayekataa haya. Lakini, kwa kodi zetu? Sio ufisadi huu? Watu wagharamie mambo haya kwa mishahara na mapato yao halali mengine sio kodi zetu.
 
Mwenyekiti mzinifu, katibu mkuu mzinifu.

Hiki ni chama cha zinaa.
mwenyekiti wa chama chako amezini na wanawake behewa kama 100 za treni na amezaa watoto lukuki kila kona ya nchi hii, ndo maana tezi dume limekamata! Ikulu kwa mara ya kwanza imepangisha wahuni na wazinifu.
 
Jamani wanaume na wanawake wengi wanafanya uzinzi sana tu ushahidi wa hilo ni matumizi makubwa ya mipira ya kondom inayotupwa kwenye vyoo na utoaji mkubwa wa mimba. Ukitaka kujua ninachoeleza hapa kachunguze kwenye zahanati nyingi wagonjwa wengi wanawake ni wale wanaoenda kutia mimba. Funua ma septic tank ya maguest house ujionee mipira ya kiume (condom) zilivyo nyingi. Hoja yangu hapo ni kuwa kama ni kweli hao watu wawili waliotajwa hapo juu wamefanya hivyo; watakuwa wametenda dhambi moja ambayo haikuendelea kusababisha dhambi ya pili na ya tatu ambayo ingekuwa ni kuyoa mimba na kuua mtoto ambaye hana hatia. Kwa kuwa ni watubwenye majina makubwa ingekuwa rahisi sana kwao kushawishika kutoa hiyo mimba na kupoteza ushahidi. Siwapongezi kwa kufanya uzinzi. Nawapongeza kwa kulinda uhai wa mtoto bila kujali hadhi yao katika jamii na familia zao. Hivyo nawaomba tusimhukumu mtu kwa kitendo kilichoonekana kwa kuwa wengi wanafanya sana tu ni vile matokeo hayajaonekana au hawajaonekana.
 
haa haa kwani hiyo kodi inakusanywa na serikali ya chama gani? Mbona malima alitumia pesa ya umma kuzini na malaya pale morogoro hotel?
Hauna ushahidi wa hili hata chembe. Unampa mwanamke UBUNGE wa VITI MAALUM kwa kuwa ni nyumbandogo?
 
Kwa hiyo na chadema wanafata "viongozi" wangu? hebu kuwa na mantiki japo kiduchu, watu wema hawafati mabaya ya wenzao.
kwani chadema imeingiaje hapo? Mbowe ndo cdm? Je sheikh mmoja akizini ndo msikiti umezini? Je padre akizini na kanisa limezini? Je mantiki yako ni nini? Je malima alipozini pale moro kama naibu waziri, je wizara anayoiongoza ndo imezini? Huo ushabiki hauna maana yoyote. Tusiingize siasa katika mambo binafsi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…