Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Vijana wa ccm wajinga kweli kweli ndio mlicho ona chakujifariji. Vijana wa ukawa tupo busy kuhamasishana kuwa tayari 2015 tuwafunze adabu
tumeshawapiga 85% kwa 14%.tumerudi kuwaonesha hawa wazinzi wenu walivyo wa ajabu
 
Majina yote yana utata. Wazinzi hawa walikuwa wanatafuta njia ya kujificha. Huenda ni mtoto huyo huyo mmoja.[/QUOTE
Kwaiyo mnajifariji kwa mambo ya kipuuzi duh kweli kuliko kukosa akili bora ukose mikono
 
tumeshawapiga 85% kwa 14%.tumerudi kuwaonesha hawa wazinzi wenu walivyo wa ajabu
Hahahahaha jidanganyeni hivyo hivyo kuliko kukosa akili bora ukose mikono mtakuja kujikuta siku moja mnapigwa 0713
 
Hii ya mbowe ya kuzaa hovyohovyo atasababisha watoto waliokosa malezi ya baba na mama tabia mbaya sana.
 
Vijana wa mashetani wa rumbesa na magunia hawana akili kabisa ccm ni wezi na wezi watabaki kuwa wezi na vijana wa ccm ni matahira fresh na watabaki hivyo milele !
 
mnashangaa nini kwani mwanaume kwanza ngoja nimwambie mods aufute huu uzi unamdhalilisha mtoto
 
Vijana wa mashetani wa rumbesa na magunia hawana akili kabisa ccm ni wezi na wezi watabaki kuwa wezi na vijana wa ccm ni matahira fresh na watabaki hivyo milele !
Hivi kuna taahira kumzidi Freeman Mbowe?
 
Hilo halijibu kuhusu uchafu huu wa ESCROW

ACHENI SIASA ZA KIPUUZ TAIFA LINAANGAMIA HILI
 
Hili jina la Cayla- Stacy walilipata wapi? Au Mbowe ameuziwa ng'ombe kwenye gunia? Maana hawa mabinti wa Kanda ya Kati mikorogo sana

Duuu huyu binti ndio kampa hilo jina Mbowe hana Sauti hapo!
 

bado kichapo cha serikali za mitaa kina kuchanganya.
 
kisheria mleta uzi alitakiwa kuficha jina la mtoto na sura yake angebandika hayo makaratasi mengine bila jina wala sura ya mtoto kuonekana huu ni unyanyasaji wa watoto ngoja niripoti abuse kwa mod
 
sitaki kujua kama kuna ukweli ndani yake ama la! Ila tatizo ni nini mpaka ulete mada hii? Kuna tatizo mwanaume kuzaa nje ya ndoa kama ameamua kufanya hivyo? Huyo mheshimiwa mkuu wa kaya ana watoto wangapi nje ya mke au wake zake halali? Umetumwa kupost au ni akili zako mwenyewe??.Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…