tumeshawapiga 85% kwa 14%.tumerudi kuwaonesha hawa wazinzi wenu walivyo wa ajabuVijana wa ccm wajinga kweli kweli ndio mlicho ona chakujifariji. Vijana wa ukawa tupo busy kuhamasishana kuwa tayari 2015 tuwafunze adabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumeshawapiga 85% kwa 14%.tumerudi kuwaonesha hawa wazinzi wenu walivyo wa ajabuVijana wa ccm wajinga kweli kweli ndio mlicho ona chakujifariji. Vijana wa ukawa tupo busy kuhamasishana kuwa tayari 2015 tuwafunze adabu
Majina yote yana utata. Wazinzi hawa walikuwa wanatafuta njia ya kujificha. Huenda ni mtoto huyo huyo mmoja.[/QUOTE
Kwaiyo mnajifariji kwa mambo ya kipuuzi duh kweli kuliko kukosa akili bora ukose mikono
unapaswa kujua personal issues za kiongozi wako ili unapomchagua ujue unachagua fuska au la!Haa hii ni personal issue. Inatuhusu nini sisi?
Hahahahaha jidanganyeni hivyo hivyo kuliko kukosa akili bora ukose mikono mtakuja kujikuta siku moja mnapigwa 0713tumeshawapiga 85% kwa 14%.tumerudi kuwaonesha hawa wazinzi wenu walivyo wa ajabu
usitake kumpaka matope rais wewe, hawa jamaa wa CHADEMA wamezidiHauzidi wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mafisadi.
Hivi kuna taahira kumzidi Freeman Mbowe?Vijana wa mashetani wa rumbesa na magunia hawana akili kabisa ccm ni wezi na wezi watabaki kuwa wezi na vijana wa ccm ni matahira fresh na watabaki hivyo milele !
Umezoea kupigwa 0713?Hahahahaha jidanganyeni hivyo hivyo kuliko kukosa akili bora ukose mikono mtakuja kujikuta siku moja mnapigwa 0713
Hahahahahaaaaaaa!mnashangaa nini kwani mwanaume kwanza ngoja nimwambie mods aufute huu uzi unamdhalilisha mtoto
Hili jina la Cayla- Stacy walilipata wapi? Au Mbowe ameuziwa ng'ombe kwenye gunia? Maana hawa mabinti wa Kanda ya Kati mikorogo sana
Hii ya mbowe ya kuzaa hovyohovyo atasababisha watoto waliokosa malezi ya baba na mama tabia mbaya sana.
Hapa ESCROW inaingiaje?Hilo halijibu kuhusu uchafu huu wa ESCROW
ACHENI SIASA ZA KIPUUZ TAIFA LINAANGAMIA HILI
Hii ya mbowe ya kuzaa hovyohovyo atasababisha watoto waliokosa malezi ya baba na mama tabia mbaya sana.
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO
View attachment 211683View attachment 211684View attachment 211685View attachment 211687
mkuu, CAYLA-STACY ndo ameshakosa malezi ya baba tayari