Hapa ESCROW inaingiaje?
Ni lini watu wamekula ubwabwa kusherehekea ndoa yao?
Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Hongereni kwa kwa kujidanganyaHivi kuna taahira kumzidi Freeman Mbowe?
Huyo ndiyo mwenyekiti wa chama cha watu hapo maadili sijui yapo wapi sasa kwenye chama na uongozi.Duu kumbe ni mchepuko....noma sana
Kabisa kabisa mkuu hiyo ni ndoano tu.Ndoa imebaki jina tu mkuu hana ndoa kama katibu mkuu wake.
usitake kumpaka matope rais wewe, hawa jamaa wa CHADEMA wamezidi
Weka viambatisho maneno matupu ni porojo ndugu.sitaki kujua kama kuna ukweli ndani yake ama la! Ila tatizo ni nini mpaka ulete mada hii? Kuna tatizo mwanaume kuzaa nje ya ndoa kama ameamua kufanya hivyo? Huyo mheshimiwa mkuu wa kaya ana watoto wangapi nje ya mke au wake zake halali? Umetumwa kupost au ni akili zako mwenyewe??.Inasikitisha sana.
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO
View attachment 211683View attachment 211684View attachment 211685View attachment 211687
Weka viambatisho mkuu porojo bila viambatisho ni bure chadema kwa maadili ya kipuuzi wamezidi tabia gani za hovyo hizi kuanzia katibu mkuu mpaka mwenyekiti hiki chama au genge la wahuni.Nani anampaka matope nani?Kama hujui uliza uambiwe.Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe,tunayajua mengikuhusu viongozi wa Chama Cha Mafisadi hivyo msiwe kimbelembele kutafuta mambo ya binafsi ya watu,mtoa mada mwenyewe siyo msafi.Ukiona unanyoosha kidole kwa mtu angalia vinakugeukia vingapi?
Na huwezi kumjuamtu ni mwizi kama wewe mwenyewe si Mwizi.Hivyo mleta mada anavitabia hivyo ndiyo maana yupo busy kutafuta maisha binfasi ya watu.
Kabisa kabisa mkuu hiyo ni ndoano tu.
Mbowe ni mzinzi sana, inakuwa anazaa zaa. Ovyo hivi?