Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

Maneno kuntu kutoka Kwa kamanda Mbowe.

Amri nyingine kuyaitisha matawi kuanza kukusanyika kwa majadiliano na maandalizi ya kupelekea madai rasmi ya kuachiwa Mh. Lissu na wengine ingependeza zaidi.
Ashughulikiwe ipasavyo aache utoto wa kukaa barabarani na kuziba barabara, hizo barabara zimejengwa kwa kodi zetu siyo zake peke yake. Hafai
 
Kutisha nini acha urongo
 
Kuna nini Ngorongoro mpaka pawepo katazo kwa Lissu na waandishi wa habari.
 
Halafu ale wapi. Kwani nje ya siasa mbowe anaajirika? Kwa elimu Gani! Hali kadhalika sugu na lema. Afadhari kidogo Lissu amesoma sheria na nje ya siasa anweza qjiliwa nakampuni yoyote ya kumlipa laki tatu kwa mwezi.
Wale sio wenzako walishindwa kuajirika wakiwa vijana iwe leo, fikiria vizuri.
 
Ashughulikiwe ipasavyo aache utoto wa kukaa barabarani na kuziba barabara, hizo barabara zimejengwa kwa kodi zetu siyo zake peke yake. Hafai

Usituongelee susi jiongelee wewe. Anafaa sana na hakika tutampigania na tutapigana naye hadi tone letu la mwisho
 
Haki Ina mipaka, ukifanya haki ya mwingine ni taka taka basi ujue hujui misingi ya hizo haki. Unazusha,unatukana na unavunja Sheria makusudi Ili uingie matatani upate umaarufu.
 
Ashughulikiwe ipasavyo aache utoto wa kukaa barabarani na kuziba barabara, hizo barabara zimejengwa kwa kodi zetu siyo zake peke yake. Hafai
Eti ashugulikiwe!!!!
Alishindwa kumshughulikia yule sheitwan wenu itakuwa hawa wasaidizi wake?
 
Haki Ina mipaka, ukifanya haki ya mwingine ni taka taka basi ujue hujui misingi ya hizo haki. Unazusha,unatukana na unavunja Sheria makusudi Ili uingie matatani upate umaarufu.
Kwa akili yako wewe unadhani Lissu anahitaji umaarufu?

Lissu ni maarufu mara dufu ya wana ccm wote.
 
Ungetiita stunted ungeeleweka zaidi.
 
Hii mbona ilikua wazi,wameshindwa kujibu hoja za chadema sasa wanajibu hoja kwa mabavu,ccm ni genge la wahuni.
Ona huyu Msukuma..... Mwendazake alivyokuwa anawaua alikuwa anajibu hoja au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…